Madee amekufuru!

Upeo mdogo na elimu ndogo vinachangia watu kuanzisha mada ya mambo ambayo yanaweza kabisa kuletea shida kuliko faraja unayoitafuta. Tusipende kucheza na jina wala nguvu za mungu bila kujua matokeo yake
 
sawa inawezekana hivi wanajamii hakuna watu wanaoteseka mateso zaidi ya huyo yesu acheni utani bwana musilete udini kama vipi tembeleeni maohospitals


Chora katuni ya Mufu Mohamadi uone kama hujapigwa mawe mpaka ufe.....
 


Mkuu unapigia mbuzi gitaaaaa....Ajaribu neno moja tu kumsema mfu wao muhamedi aone cha moto...
 


Ilipochorwa katuni ya Mfu wenu si mlikuja juu nyie?
 
Taarifa nilizozipata hivi punde Msanii huyu amefiwa na Girlfriend wake wa siku nyingi aitwae Pendo katika ajali ya Basi la Shabiby iliyotokea jana...

sasa tumpe pole au? just beginning majibu ya yesu ni faster than expected
 
ah!, nimesoma kichwa kwa bila umakini nikadhani ni MDEE!, SAMAHANI, sirudi
 
I donts support watu madee said, ila Mbona na sisi kati ka iman zetu tunamkufuru Mungu. Kuna kiongozi mmoja anaitwa 'Baba Mtakatifu' yaani Holy Father. Hiyo sio kufuru?
 
sasa tumpe pole au? just beginning majibu ya yesu ni faster than expected

Pole pole Namhala!! Tumpe pole tu na Mungu ampe pumziko la milele huyo aliyetangulia mbele ya haki. Ila umewakomalia na huyo mfu wao!!
 
Tusisahau kuwa Yesu Kristo hakubakia kaburini maana alifufuka siku ya tatu kama alivyosema (tofauti na mitume wote mnaowajua) Yeye ni bwana wa Uzima na Siku moja kila Goti (la madee na nyinyi wote yakiwemo) yatapigwa kwake na kila Ulimi (ukiwemo wa madee na nyinyi wote utakiri) kuwa Yesu Kristo ni bwana kwa utukufu wa mungu baba, Tehe tehe tehe tehe! tehe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.

Yes Jesus Christ and his servants will have the last laughter !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Tehe tehe tehe tehe! tehe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.Tehe tehe tehe tehe! tehe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
Ok kumbe rahisi hivyo bac madee alimuimba yule wa waislam,fikra potofu huwa na majibu potofu
 
vipo visanii visivyovikiri sawasawa na vinadhani mziki ni kuimba upuuzi,kipo kiisanii kingine eti kinamfananisha demu wake na bikira Maria ,,yaani uvundo mtupu baadhi ya wasaniii
 
hii ndio shida ya kutunga mistari wakati unatoka kupata marijuana, kila kitu unaona kinafaa kusema
saaana tuu tena anaona aharakishe akapate tena majani!!!:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…