Madee amzawadia Dogo Janja Gari aina ya Benzi

Madee mwenyewe anatembelea gari aina gani hadi amzawdie benz kwa Dogo Njanja, ngoja Ney aje awachane
 
Ni mpya au ni ile iliyokuwa inauzwa M4 pale Kwa madalali?asije akawa anampa umasikini Dogo si angempa hata ka vitz second generation,hata akiwa na ten ya kiwese anapiga misele bila mawazo
 

Duh..kama Lulu.
 
Teh teh sana tu nahisi ile gari aliyo azimwa na yule baby wake aende nayo kwenye birthday atampa kabisa
Yeye abaki na Usede
Teh teh..Na hivi wanavyopenda vivuli..Hapo atakuwa amemroga kabisa..
 
Nature kipindi cha planet bongo enzi za salama alisema aliyempa benzi alikua ni fella
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…