Madee amzawadia Dogo Janja Gari aina ya Benzi

Madee amzawadia Dogo Janja Gari aina ya Benzi

Madee mwenyewe anatembelea gari aina gani hadi amzawdie benz kwa Dogo Njanja, ngoja Ney aje awachane
 
Baada ya dogo Janja kukaa kwa kimya kirefu hatimaye siku za karibunu alirudi tena katika game ya muziki na kutoa hit single yake iitwayo My life

Leo katika Alah za Roho clouds Fm dogo Janja akiwa katikati ya Interview amepigwa suprize ya Gari toka kwa Madee gari aina ya Benzi kwa kutoa wimbo wake huo

Dogo Janja ameshindwa kujizuia na kujikuta analia sana halio ilo pelekea interview yake isimame kwa Muda ingawa Diva anasema alijua toka mchana

Hongera Madee endelea na Moyo huo huo hongera Dogo Janja kumbuka mguu mnyoofu haukubalu kwenye kiatu kilicho pinda!
Ni mpya au ni ile iliyokuwa inauzwa M4 pale Kwa madalali?asije akawa anampa umasikini Dogo si angempa hata ka vitz second generation,hata akiwa na ten ya kiwese anapiga misele bila mawazo
 
4ee6cdea8845c405ad087d2c602b8a63.jpg
 
Baada ya dogo Janja kukaa kwa kimya kirefu hatimaye siku za karibunu alirudi tena katika game ya muziki na kutoa hit single yake iitwayo My life

Leo katika Alah za Roho clouds Fm dogo Janja akiwa katikati ya Interview amepigwa suprize ya Gari toka kwa Madee gari aina ya Benzi kwa kutoa wimbo wake huo

Dogo Janja ameshindwa kujizuia na kujikuta analia sana halio ilo pelekea interview yake isimame kwa Muda ingawa Diva anasema alijua toka mchana

Hongera Madee endelea na Moyo huo huo hongera Dogo Janja kumbuka mguu mnyoofu haukubalu kwenye kiatu kilicho pinda!

Duh..kama Lulu.
 
Teh teh sana tu nahisi ile gari aliyo azimwa na yule baby wake aende nayo kwenye birthday atampa kabisa
Yeye abaki na Usede
Teh teh..Na hivi wanavyopenda vivuli..Hapo atakuwa amemroga kabisa..
 
Ile benz alipewa Nature na wahindi kama sikosei na sio Fela na hapo ni baada ya kugundua mauzo ya album yake yameibiwa na hao wahindi wakajua nature akienda mahakamani itakula kwao ,wakaishia kumpa lile benzi na hela ,mzaramo yule atake nini kingine maskini ,
Nature kipindi cha planet bongo enzi za salama alisema aliyempa benzi alikua ni fella
 
Back
Top Bottom