PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama uliamua kununua gari basi ni moja ya ndoto zako. Wengine wanaishia kuota tu , kununua hawawezi.Mmmmh mbn nna gari lakn hainindotishi
Gari au baby walk?Mmmmh mbn nna gari lakn hainindotishi
Ni mpya au ni ile iliyokuwa inauzwa M4 pale Kwa madalali?asije akawa anampa umasikini Dogo si angempa hata ka vitz second generation,hata akiwa na ten ya kiwese anapiga misele bila mawazoBaada ya dogo Janja kukaa kwa kimya kirefu hatimaye siku za karibunu alirudi tena katika game ya muziki na kutoa hit single yake iitwayo My life
Leo katika Alah za Roho clouds Fm dogo Janja akiwa katikati ya Interview amepigwa suprize ya Gari toka kwa Madee gari aina ya Benzi kwa kutoa wimbo wake huo
Dogo Janja ameshindwa kujizuia na kujikuta analia sana halio ilo pelekea interview yake isimame kwa Muda ingawa Diva anasema alijua toka mchana
Hongera Madee endelea na Moyo huo huo hongera Dogo Janja kumbuka mguu mnyoofu haukubalu kwenye kiatu kilicho pinda!
Baada ya dogo Janja kukaa kwa kimya kirefu hatimaye siku za karibunu alirudi tena katika game ya muziki na kutoa hit single yake iitwayo My life
Leo katika Alah za Roho clouds Fm dogo Janja akiwa katikati ya Interview amepigwa suprize ya Gari toka kwa Madee gari aina ya Benzi kwa kutoa wimbo wake huo
Dogo Janja ameshindwa kujizuia na kujikuta analia sana halio ilo pelekea interview yake isimame kwa Muda ingawa Diva anasema alijua toka mchana
Hongera Madee endelea na Moyo huo huo hongera Dogo Janja kumbuka mguu mnyoofu haukubalu kwenye kiatu kilicho pinda!
Show za kibabe nahisi zitamkomaHongera ila asiishie kumpa benzi tu ampe walau na mawazo ya kufanya jambo litakalo muingizia japo sh 200 kwa siku achilia mbali na mziki
Teh teh sana tu nahisi ile gari aliyo azimwa na yule baby wake aende nayo kwenye birthday atampa kabisaShow za kibabe nahisi zitamkoma
Teh teh..Na hivi wanavyopenda vivuli..Hapo atakuwa amemroga kabisa..Teh teh sana tu nahisi ile gari aliyo azimwa na yule baby wake aende nayo kwenye birthday atampa kabisa
Yeye abaki na Usede
Nature kipindi cha planet bongo enzi za salama alisema aliyempa benzi alikua ni fellaIle benz alipewa Nature na wahindi kama sikosei na sio Fela na hapo ni baada ya kugundua mauzo ya album yake yameibiwa na hao wahindi wakajua nature akienda mahakamani itakula kwao ,wakaishia kumpa lile benzi na hela ,mzaramo yule atake nini kingine maskini ,
benz aina ya bitoBenz aina gani?!
Yaani Benzi lenyewe hili ndio kamwaga machozi? Ndio maana sitaki junior ajishulishe na Bongofleva
Bongo fleva inapunguza akili!!!