Madee: Ferouz alizingua kufanya chorus kwenye wimbo wangu

Madee: Ferouz alizingua kufanya chorus kwenye wimbo wangu

Niliwahi kumsikia madee planet bongo akisema kwamba ile ngoma ya kazi yake mola ndio ilipaswa aifanye ferouz ila feruouz akawa haeleweki baadae p funk akamwambia kwamba kuna watu toka arusha watafanya chorus badala ya feruz
Hata hiki nilichokiandika nimekitoa kwenye interview aliyofanyiwa iko youtube ni ndefu ila sehemu alipoongelea huu wimbo ndiyo imenivutia
 
image.jpg
Hivi huyo demu alikuwa mzuri sana au vipi
Beauty is in the eye of the beholder
 
Back
Top Bottom