mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,931
- Thread starter
- #41
Hata hiki nilichokiandika nimekitoa kwenye interview aliyofanyiwa iko youtube ni ndefu ila sehemu alipoongelea huu wimbo ndiyo imenivutiaNiliwahi kumsikia madee planet bongo akisema kwamba ile ngoma ya kazi yake mola ndio ilipaswa aifanye ferouz ila feruouz akawa haeleweki baadae p funk akamwambia kwamba kuna watu toka arusha watafanya chorus badala ya feruz