Madee my brother, pole sana kwa issue ya picha mbaya za binti yako

Unasimamishaje Kwa mwanao!??
 
Unasimamishaje Kwa mwanao!??
Binti akuvalie kibukta mipaka yote inaonekana na amzigo wa uhakika? anakuja kukukalia!

Wengi huanzwa nyumbani. Kuwa uyaone. Ingekuwa kuta za nyumba zinasema ingekuwa balaa.
 
Na MUDA si mrefu ataanza lamba madili ya ubalozi wa makampuni mbalimbali
 
Duh! Ni bora kumwita "mke wa asiyejulikana"
 
Picha uangalie mwenyewe Kwa kificho alafu unakuja kutuandikia maelezo bila picha (hivi unatuonaje aisee)
 
Watoto Wa masikini wanasumbuliwa na matatizo mengi Sana .

Tunda wa Afande sele , kamaliza chuo kikuu na Ana kazi tayari kapata.
Afande Sele alimtabiria mema sana huyu binti yake kwenye Karata Dume

Anakwambia, mwanangu Tunda asome mpaka afike chuo kikuu, na Mungu akileta neema atampeleka m0aka East zuu,

Karata dume ni nyimbo iliyobeba hitimisho la sanaa ya Afande Sele, utawala wa bongo fleva na kesho ya binti yake.

Sijui ni lini Afande atatoa ufalme wake kwa msanii mwengine. Bado nasubiri
 
Hata mke kumpostpost siyo poa
Unakuta mtu anampost mke wake
Kila muda, alafu utakuta mke Ana chura mguu wa maana
Walafi lazima watataka wapime maji kina hapo

Ova
[emoji23][emoji23]
 
Mm kuna mshikaji wangu amesomesha mtoto wa kike kuanzia primary mpaka kamaliza six shule za gharama lakin matokeo yake,then binti alichomzawadia baba yake ni maumivu tuu
Mzazi kusomesha mtoto ni wajibu sio hisani
 
Umeongea la mising c wasanii tuu hata cc wa kawaida tuna wa expose san kwenye social network San, unavyompost mwanao nae anajeng tabia ya kujipost
 
Ni kweli ukiwa star life yako inakuwa ya public ila kwanini wao wenyewe huwa hawapambani kuweka familia out of public attention? Walimwengu wabaya mno, wanaweza kusota hata miaka ila siku wakutie aibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…