Madee my brother, pole sana kwa issue ya picha mbaya za binti yako

Madee my brother, pole sana kwa issue ya picha mbaya za binti yako

Kwa picha hizi kwa huku Bongo kazingua, ila binafsi sijaona maajabu.
Sijui kwann mtu unaweza muona mzuri nje, ila ndani anatishaa, sio kwa harage hili.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hee ...zisharushwa?!!!!mweeee
 
Pia mkipata MUDA mzuri muwe mnaandika na mafanikio waliyoyapata hao watoto Kama TUNDA wa afande sele ambaye kapata kazi baada ya kumaliza Elimu ya chuo kikuu.
Afande Sele aliwahi kuimba kwenye karata dume wimbo wa 2007 "Kwa mwendo huu mpaka mwanangu Tunda afike vyuo vikuu" So maneno huumba, hongera kwake.
Tuwe tunajinenea mema na watoto wetu Ina nguvu sana hii.
 
Alafu kwenye video alionyesha chuo Cha sua, na kweli imejibu, yule bange Ila aliwekeza kwa Tunda toka mdogo kuhusu kusoma.
 
Mm kuna mshikaji wangu amesomesha mtoto wa kike kuanzia primary mpaka kamaliza six shule za gharama lakin matokeo yake,then binti alichomzawadia baba yake ni maumivu tuu
Mnaweka expectations kubwa Sanaa!!
WATOTO Wa kike Kwa disappointment ni kubwa Sanaa ujue haswa akipata mimba isiyo na baba
 
Back
Top Bottom