Madee my brother, pole sana kwa issue ya picha mbaya za binti yako

Jana nimesoma ule uzi wa mtoto wa Shetta sikuelewa lengo lako Likud, leo tena nimesoma huu uzi sijaelewa exactly unachotaka kuhamasisha.

Hautaki watu wawe proud na watoto wao wa kike? Mkuu kuna mahali umetelekeza mtoto wa kike Kwahiyo unajaribu kuwapaint kwa ubaya ili kujustify ulichofanya?

Coz honestly, what the big deal? Mbona watoto wanaharibika kila leo?
 
Juzi niliandika Uzi hapa nikisema Mtoto wa kike anakuwaga mzuri sana kwa baba akiwa bado hajavunga ungo ila akisha vunja ungo anakuwa an alien to her daddy.

Watoto wadogo waliniponda lakini watu wazima walikubaliana na nilicho kiandika. Hazijapita hata siku mbili tumeyaona ya mtoto wa Madee. Mtandaoni kuna habari ya mtoto wa Madee kuachia picha za utupu..

Madee my brother usipanic kwa hilo la mtoto wako.

Mtoto wa kike akisha vunja ungo anakuwaga stranger to her dad.

Nasema stranger to her dad kwa sababu wanawake huwaga haiwasumbui sana kwa vile wanajijua.

Ili uendelee kumpenda mtoto wako wa kike alie kwisha vunja ungo usimfuatilie kabisa kujua mambo yake coz the truth is utamchukia sana lakini itakuwa ni kazi bure tu kwa sababu hivyo ndivyo walivyo umbwa and there is nothing you can do about it.

Mtoto wa kike akifika puberty age ndio utaujua umuhimu wa mashangazi.( dada zako)

Kwa alicho kifanya binti wa Madee sidhani kama madee atakuwa tena proud kupiga nae picha mtandaoni..

Ushauri wangu kwa wewe proud dad ambae bado binti yako hajavunja ungo[emoji116]

Akisha vunja ungo jiandae kisaikolojia kumpenda hivyo hivyo kama jinsi atakavyo kuwa or else utamchukia bure
Hakika mkuu umekuwa mtu wa maono na msema kweli daima ni wengi tunaofahamu kipaji chako hiki

Ubarikiwe

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Juzi niliandika Uzi hapa nikisema Mtoto wa kike anakuwaga mzuri sana kwa baba akiwa bado hajavunga ungo ila akisha vunja ungo anakuwa an alien to her daddy.

Watoto wadogo waliniponda lakini watu wazima walikubaliana na nilicho kiandika. Hazijapita hata siku mbili tumeyaona ya mtoto wa Madee. Mtandaoni kuna habari ya mtoto wa Madee kuachia picha za utupu..

Madee my brother usipanic kwa hilo la mtoto wako.

Mtoto wa kike akisha vunja ungo anakuwaga stranger to her dad.

Nasema stranger to her dad kwa sababu wanawake huwaga haiwasumbui sana kwa vile wanajijua.

Ili uendelee kumpenda mtoto wako wa kike alie kwisha vunja ungo usimfuatilie kabisa kujua mambo yake coz the truth is utamchukia sana lakini itakuwa ni kazi bure tu kwa sababu hivyo ndivyo walivyo umbwa and there is nothing you can do about it.

Mtoto wa kike akifika puberty age ndio utaujua umuhimu wa mashangazi.( dada zako)

Kwa alicho kifanya binti wa Madee sidhani kama madee atakuwa tena proud kupiga nae picha mtandaoni..

Ushauri wangu kwa wewe proud dad ambae bado binti yako hajavunja ungo👇

Akisha vunja ungo jiandae kisaikolojia kumpenda hivyo hivyo kama jinsi atakavyo kuwa or else utamchukia bure
katika suala la picha hasa wakati wa faragha saa zingine tunajitakiaga tu, kwa kuwa waaminifu wenye mapenzi motomoto yaliyopitiliza kwa wenzi wetu ....
For politicians,
Make sure you take full control and authority over every electronic materials within faragha room, la sivyo you might be a victim kwa kujua au kutokujua ..

Pole kwa walio wahi kukukumbwa na kasumba hii...
 
Back
Top Bottom