Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
ohoooAlimkopesha Sepenga
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ohoooAlimkopesha Sepenga
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Wanakwambia no pain no gain...namibia anakusikia kwny radio tuTeh teh...Mwisho Nilijua yupo Namibia..Anafanya nini na Zola D sasa..Naye ananyanyua Vyuma ama?
Duuh..Kuishi ukweni napo shida..Acha akomae hapa hapa...BBA ikirudi tutampeleka TID mnyama akajaribu bahati yake..TehWanakwambia no pain no gain...namibia anakusikia kwny radio tu
Duuh..Kuishi ukweni napo shida..Acha akomae hapa hapa...BBA ikirudi tutampeleka TID mnyama akajaribu bahati yake..Teh
Full vituko huyu jamaa..Hahaha usiombe ukakuta mnyama anafanya interview redioni...TID bwana. [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wanaoshiriki big brother sijui wanakumbwa na laana gani..mwisho siku hizi yupo na zola d [emoji23][emoji23]
Watu wanaoshiriki big brother sijui wanakumbwa na laana gani..mwisho siku hizi yupo na zola d [emoji23][emoji23]
[emoji106]Huwezi kuwa na milioni 500 afu ukubali kuajiriwa kama una akili timamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alisema kawekeza katika biashara ya kununua na kukata dhahabu (Sonara )Aseeh ni hatari kama ukweli hivi...
BTW kwani zile 500M za Idris zimeisha?
Duuh..Kuishi ukweni napo shida..Acha akomae hapa hapa...BBA ikirudi tutampeleka TID mnyama akajaribu bahati yake..Teh
vipi maendeleo ya hiyo kazi yake?Alisema kawekeza katika biashara ya kununua na kukata dhahabu (Sonara )
Hebu mwiteni aje hapa athibitisheivi kuna uhakika gan kwamba hela zake zimeisha.. unajua mimi siamin eeh