Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
Nina mashaka na big brother huwa hawatoi kiasi chote cha pesa wanachotangaza ...hakuna mshindi yoyote big broter mwenye maisha mazuri mpaka sasa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisema amefungua kampuni kaajiri zaidi ya vijana 20 na anawalipa pesa nzuri sijui imefikia wapiAseeh ni hatari kama ukweli hivi...
BTW kwani zile 500M za Idris zimeisha?
Mbona sioni maendeleo..Alisema amefungua kampuni kaajiri zaidi ya vijana 20 na anawalipa pesa nzuri sijui imefikia wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahaaa hiz kauli za upande Wa pili wallah ila sio ajabu tunao nao siku hiz wanadai haki zao eti wanataka na wao watambulikeWanaume wa kizazi hiki tabu tupu eti wamechambana
Nahisi uwa awapewi pesa halisi tunayoambiwa,500m si mchezo mkuuWatu wanaoshiriki big brother sijui wanakumbwa na laana gani..mwisho siku hizi yupo na zola d [emoji23][emoji23]
Kupanga ni kuchagua.....yule bwana mkubwa m.w.i.s.ho naye si alikula mpunga wake hivyohivyo...yaleyaleMjinga huyu dogo kasahau yeye alitakiwa kuwa mbali na mfano kwa vijana wengine
Wanaume wa Dar hao.Wanaume wa kizazi hiki tabu tupu eti wamechambana
Usituandikie uchuro humuJamani wengne hatuna smart xm zetu hazizoom tuandikieni na cc tufaidi uhondo