Madee na IdrisSultan wachambana.

Nina mashaka na big brother huwa hawatoi kiasi chote cha pesa wanachotangaza ...hakuna mshindi yoyote big broter mwenye maisha mazuri mpaka sasa..
 
Jamani wengne hatuna smart xm zetu hazizoom tuandikieni na cc tufaidi uhondo
 
Madee kajibu sahihi kabisa....haka ka-Idris kana maneno ya kipashukuna sana kana kwamba anashikishwa ukuta na mademu maana kama ndiye wanaume wanamshikisha ncha ya kitanda angekuwa na adabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…