Halafu machawa eti Nyerere ni Baba wa Taifa na anatakiwa awe Mtakatifu! Yeye ndiye muasisi wa mateso yote haya yatokanayo na katiba aliyoitengeneza kulinda kiti chake!Wakuu,
Akizungumza jana kwenye kipindi cha Jambo Asubuhi cha Jambo TV Peter Madeleka alisema kwamba Katiba inayotumika sasa ilitegnenezwa ndani ya wiki 2 tu na ilitengenezwa na watu 20 pekee
"Upatikanaji wa Kataiba tunayotumia leo haikupaatikana kwa michakato hii ambayo tunaambiwa leo ni lazima ifanyike tupate Katiba Mpya. Hii Katiba si kuna watu wanaotetea kwamba inafaa ni nzuri? Ilitengenezwa na watu 20 chini ya wiki mbili"
Hii Sasa imeingiaje?Halafu machawa eti Nyerere ni Baba wa Taifa na anatakiwa awe Mtakatifu! Yeye ndiye muasisi wa mateso yote haya yatokanayo na katiba aliyoitengeneza kulinda kiti chake!
Kile ambacho nimelishwa kuhusu nyerere pale kipindi nipo shule ni tofauti na kile nakisoma kuhusu nyerere siku hizi.Halafu machawa eti Nyerere ni Baba wa Taifa na anatakiwa awe Mtakatifu! Yeye ndiye muasisi wa mateso yote haya yatokanayo na katiba aliyoitengeneza kulinda kiti chake!
Uko sahihi sana, Nyerere ni sehemu ya muundo huu wa utawala wa hovyo wa kuburuzwa na viongozi.Halafu machawa eti Nyerere ni Baba wa Taifa na anatakiwa awe Mtakatifu! Yeye ndiye muasisi wa mateso yote haya yatokanayo na katiba aliyoitengeneza kulinda kiti chake!
Barikiwa sanaHii Sasa imeingiaje?
Hivi huwa hamsomi historia ya nchi yetu? Kwa nini mnadhani kila jambo alilolifanya Nyerere alilifanya kulinda nafasi yake?
Hivi Nyerere alikuwa analinda madaraka yake dhidi ya nani hiyo mwaka 1977 wakati Katiba hiyo inatungwa?
Nyerere alikosea kuamini kwenye mfumo wa chama kimoja (Ilikuwa fasheni wakati huo) lakini kusema eti yeye ndiye muasisi wa mateso haya ya Sasa ni kumuonea na kumsingizia asiyohusika nayo.
Mambo ya wakatoliki wenzake kutaka kumfanya awe mtakatifu yanawahusu wao na tuheshimu imani yao.
Unaongea as if hujui historia na nguvu ya Rais kwa nchi za kiafrika. Nyerere mwenyewe alisema kuwa katiba hii ni ya kidikteita, akitokea dikiteita ataumiza wananchi sana. Google with those terms utasikia kauli hiyo! He knew he was sitting on a "fire turbine" a bomb shell in case it lands in the hands of hooligans! And here we are!Hii Sasa imeingiaje?
Hivi huwa hamsomi historia ya nchi yetu? Kwa nini mnadhani kila jambo alilolifanya Nyerere alilifanya kulinda nafasi yake?
Hivi Nyerere alikuwa analinda madaraka yake dhidi ya nani hiyo mwaka 1977 wakati Katiba hiyo inatungwa?
Nyerere alikosea kuamini kwenye mfumo wa chama kimoja (Ilikuwa fasheni wakati huo) lakini kusema eti yeye ndiye muasisi wa mateso haya ya Sasa ni kumuonea na kumsingizia asiyohusika nayo.
Mambo ya wakatoliki wenzake kutaka kumfanya awe mtakatifu yanawahusu wao na tuheshimu imani yao.
Ni miaka 40 sasa tangu Nyerere aondoke madarakani, tumebaki na katiba ileile, wamepita maraisi 4, huyu wa sasa ni wa 5.Uko sahihi sana, Nyerere ni sehemu ya muundo huu wa utawala wa hovyo wa kuburuzwa na viongozi.
Yeye ndio alitengeneza katiba isiyoweza kubadilishika kwani inatengeneza nguvu za vikundi vya watawala, na sio nguvu ya wananchi. Ni kiongozi gani atataka kubadili katiba ambayo rais hashitakiwi akiwa au ametoka madarakani?Ni miaka 40 sasa tangu Nyerere aondoke madarakani, tumebaki na katiba ileile, wamepita maraisi 4, huyu wa sasa ni wa 5.
Miaka 40 sasa bado tunamlaumu Nyerere kwa mapungufu yake. Huu ni ujuha, waliopo waonyeshe uongozi kama kweli wanalipenda taifa hili.
Vv
1997, Nyerere (na watu wake) alitengeneza katiba ya kitu kinachoitwa "Totalitarian State". Taifa linalotawaliwa kiimla ambapo kiongozi mkuu (Rais) anakuwa na mamlaka kamili juu ya mihimili yote na taasisi zote za kiuongozi, kisiasa, na kijamii pamoja na vyombo vyote vya dola. Maamuzi yake ndio maamuzi ya Taifa. Kauli yake ndiyo ya mwisho katika masuala muhimu ya kitaifa.Hii Sasa imeingiaje?
Hivi huwa hamsomi historia ya nchi yetu? Kwa nini mnadhani kila jambo alilolifanya Nyerere alilifanya kulinda nafasi yake?
Hivi Nyerere alikuwa analinda madaraka yake dhidi ya nani hiyo mwaka 1977 wakati Katiba hiyo inatungwa?
Nyerere alikosea kuamini kwenye mfumo wa chama kimoja (Ilikuwa fasheni wakati huo) lakini kusema eti yeye ndiye muasisi wa mateso haya ya Sasa ni kumuonea na kumsingizia asiyohusika nayo.
Mambo ya wakatoliki wenzake kutaka kumfanya awe mtakatifu yanawahusu wao na tuheshimu imani yao.
Halafu machawa eti Nyerere ni Baba wa Taifa na anatakiwa awe Mtakatifu! Yeye ndiye muasisi wa mateso yote haya yatokanayo na katiba aliyoitengeneza kulinda kiti chake!