Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Sana! Haiingii akilini Polisi wawapige tu risasi bila sababu. Na kwa Vingunguti probability kwamba ni panya road ni kubwa!Anasaka umaarufu kwa nguvu kubwa
Kama kuna wapuuzi sio wa kucheka nao ni the so called panya road.Subiri siku waingie home kwake huyo madeleka wambake mkewe kisha yeye apakwe mafuta ya nazi
Madeleka hayupo kwenye pay roll ya Police.Madeleka ni Polisi na yuko kwenye Payroll ya mishahara, kama ikitokea kesi ambayo Jamhuri ina maslahi, huwa anatumika kuivuruga, na kuwatoa kwenye mstari wahusika.
Ni mtu wa kazi maalum, ila anatakiwa ajifanye kama raia
Mwambieni Madeleka mambo mengine aache yapite. Hawa Panyaroad ni tatizo sugu la taifa. Wacha wauliwe tu na ijulikane kuwa hatuheshimu haki za binadamu. Panya Road ni wanyama
Kwa kweli, wacha ulimwengu uwafundishe!Kama kuna panya road wengine wauawe wote Tu hakuna sababu ya kuleana.....dawa ya mwalifu ni kifo tu
Endelea kupotosha!! Tushamjua kitambo.Madeleka hayupo kwenye pay roll ya Police.
Aliacha kazi mara baada ya kutoka kozi ya G.O hakukaa sana kuitumikia nyota3