Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Madeleka: ‘Nimeambiwa CCM walisikitika mimi kukamatwa. Nashukuru wameonesha kazi na utu’
Wakili wa kujitegemea Peter Madeleka ameyasema haya leo Agosti 18, 2026, wakati akiongea na vyombo vya habari baada ya kuachiliwa kwa dhamana kutoka Kituo Kikuu cha Polisi (Central) jijini Dar es Salaam.
Madeleka alikamatwa Agosti 14, 2026 kwa tuhuma za kudharau amri za Mahakama.