Madeleka: Nimeambiwa CCM walisikitika mimi kukamatwa. Nashukuru wameonesha kazi na utu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Madeleka: ‘Nimeambiwa CCM walisikitika mimi kukamatwa. Nashukuru wameonesha kazi na utu’

Wakili wa kujitegemea Peter Madeleka ameyasema haya leo Agosti 18, 2026, wakati akiongea na vyombo vya habari baada ya kuachiliwa kwa dhamana kutoka Kituo Kikuu cha Polisi (Central) jijini Dar es Salaam.

Madeleka alikamatwa Agosti 14, 2026 kwa tuhuma za kudharau amri za Mahakama.

Your browser is not able to display this video.

​
 
CCM wa wapi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…