Amefanya jambo ambalo hata watoto wake watakuwa wanaona aibuChacha kazingua sana, kutongoza, kutongozwa, kutongozana, ni ubinadamu.Na vitu vya kutunziana siri, sio kusemanasemana.
Mayb alikuwa anajisafisha mbele ya mkewe hii inawezekana pia..Chacha amewatia aibu wanaume.....na kama alikuwa kimada wake ametumia mbinu hiyo kujisafisha kwa mkewe, ni jambo la kishamba sana.........kwanza kusimama hadharani kusema unatongozwa ni jambo la kitoto sana,hata Police wamekosa kazi,kwasababu kutongoza au kutongoza si kosa
Labda mkuu wa mkoa alikuwa anajua anategwa aingie kwenye 18 kama yule RC aliyemlawiti binti kule Mwanza.Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X, Wakili Peter Madeleka ameandika:
"Nitakwenda Mahakmani kule Tabora kumtetea Sophia kwa kuwa, kwa mujibu wa sheria siy jinai kwa Sophia kumtongoza Mkuu wa Mkoa."
Ikumbukwe kuwa Septemba 7, 2026, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Matiko Chacha wakati akikabidhi Ofisi na madaraka kwa Mkuu wa Mkoa mpya, alisimulia namna alivyokuwa akipokea jumbe za Sophia akimtongoza, mwishowe akaamua kulifikisha suala hilo kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora (RPC).
Soma pia Chacha kuna mwananchi ambaye ni mwanamke alinitongoza, nikabidi nilifikishe kwa RPC