Madeleka: Nitakwenda Tabora kumtetea Sophia, kumtongoza Mkuu wa Mkoa siyo Jinai

Madeleka: Nitakwenda Tabora kumtetea Sophia, kumtongoza Mkuu wa Mkoa siyo Jinai

Hii kesi ni kama ya mwanamke kushitaki kwa mumewe Kila anapotongozwa na mwanaume huko nje.

Lakini je ,,,wanaume anaowakubali mbona hasemi?
 
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X, Wakili Peter Madeleka ameandika:

"Nitakwenda Mahakmani kule Tabora kumtetea Sophia kwa kuwa, kwa mujibu wa sheria siy jinai kwa Sophia kumtongoza Mkuu wa Mkoa."

Ikumbukwe kuwa Septemba 7, 2026, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Matiko Chacha wakati akikabidhi Ofisi na madaraka kwa Mkuu wa Mkoa mpya, alisimulia namna alivyokuwa akipokea jumbe za Sophia akimtongoza, mwishowe akaamua kulifikisha suala hilo kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora (RPC).

Soma pia Chacha kuna mwananchi ambaye ni mwanamke alinitongoza, nikabidi nilifikishe kwa RPC

 

Attachments

  • 12106267_521609908008489_526580475_n.jpg
    12106267_521609908008489_526580475_n.jpg
    15.6 KB · Views: 7
Back
Top Bottom