Madeleka: Nitamtetea bure aliyezusha kifo cha binti aliyebakwa. Watanzania wanataka kuona waliombaka na kumlawiti wanakamatwa.

Madeleka: Nitamtetea bure aliyezusha kifo cha binti aliyebakwa. Watanzania wanataka kuona waliombaka na kumlawiti wanakamatwa.

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Ikiwa POLISI watampeleka AMOSI, MAHAKAMANI, basi, NITAKWENDA KUMTETEA BURE. Watu wanataka kuona POLISI IKIWAKAMATA WABAKAJI NA WAFIRAJI. Hayo mengine ya “KUZUSHA KIFO CHA BINTI WA YOMBO”, ni masuala MADOGO SANA KISHERIA.

Pia soma Aliyezusha kifo cha binti aliyebakwa Yombo atiwa mbaroni

Madeleka.png
 
Cha msingi tuwe serious upepo wa simba na yanga usije ukamaliza kesi juu kwa juu
 
Ila hii nchi hii,. Maanake hapo wanataka waanze kudeal na mzushi kabla ya hao wabakaji na wafiraji,. Inafikirisha🤔
 
Back
Top Bottom