Mademu achen ushamba

Mademu achen ushamba

Aaaaaaah wanapenda Kuendesha ila hawajui hata tank la mafuta linakaa wap



Wa kishua
Sasa nikupe siri wanawake huwa ni wadadisi sana hasa kwenye vyombo vya moto kuliko nyie wanaume mana ninavyoona hulijui hilo.

Nakupa hiyo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahaha kuna mmoja huyo anashusha vioo vyote halafu kafunga mziki wa club basi akipita ni kelele tupuuu lazima mjue tuu anapita daaah,...
Noma sana uyo dada
Mrembo mumu mambo

Wa kishua
 
Aaaaaaah mo11 we unajua vile hawa watoto wakiwa kwenye ndiga wanavyopepesa

Wa kishua
Ujue ukishakuwa na mawazo mabaya hata kama mwanamke anaangalia kitu kingine utajua unaangaliwa wewe.

Hebu tuache bana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hii imekuwa too much saa Yan madem wanaodrive wamejaa ushamba kichwani unakuta dem anaendesha kashusha vioo vyote uku anapepesa macho kuvuta attention Za masela
Kuendesha siku izi sio Ujanja kwanza kutembelea matako kunamaliza chura zenu tu afu hata gari ikikata wese anaanza kulia hujui tatizo nn mnaboa kinyama
Ishe boy smaind mademu wapenda attention Za kudrive

Wa kishua
Umeshau na ile ya kufunga mkanda na kupiga selfie
 
Sasa nikupe siri wanawake huwa ni wadadisi sana hasa kwenye vyombo vya moto kuliko nyie wanaume mana ninavyoona hulijui hilo.

Nakupa hiyo.
Okay nimemuelewa mtt mzur miss you emmyta

Wa kishua
 
Ujue ukishakuwa na mawazo mabaya hata kama mwanamke anaangalia kitu kingine utajua unaangaliwa wewe.

Hebu tuache bana.
emmyta Uwe unapandisha vioo bana mtasababisha tugongwe na magar ujue

Wa kishua
 
Habar wameipata

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
emmyta Uwe unapandisha vioo bana mtasababisha tugongwe na magar ujue

Wa kishua
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Tatizo mkuu hujataka kutuzowea kwa sababu ukiona mdada kashusha vioo ujue a/c kama sio mbovu basi hapatani nayo. Ila kiukweli ni wanawake wachache wanaoendesha gari huku vioo vimeshushwa kwa sababu kwanza wale vibaka wakishaona anaendesha mdada walio wengi wanajua ndio wamepata pa kupora na hawashindwi kukupora hata mkoba ulioweka pembeni tena hadharani na wakakimbia nao.

Kwa hilo nakupinga mkuu wanaume ndio zenu hizo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom