Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Sasa nikupe siri wanawake huwa ni wadadisi sana hasa kwenye vyombo vya moto kuliko nyie wanaume mana ninavyoona hulijui hilo.Aaaaaaah wanapenda Kuendesha ila hawajui hata tank la mafuta linakaa wap
Wa kishua
Nakupa hiyo.