Sasa nikupe siri wanawake huwa ni wadadisi sana hasa kwenye vyombo vya moto kuliko nyie wanaume mana ninavyoona hulijui hilo.Aaaaaaah wanapenda Kuendesha ila hawajui hata tank la mafuta linakaa wap
Wa kishua
Aaaaaaah hamna mzee madem wanakukimbilia utakuwa wa ushuan weMimi mgumu hatari chaliangu tena oldskuld. U-brazamen ni huko bongo ocean road
Noma sana uyo dadaHahaha kuna mmoja huyo anashusha vioo vyote halafu kafunga mziki wa club basi akipita ni kelele tupuuu lazima mjue tuu anapita daaah,...
Ujue ukishakuwa na mawazo mabaya hata kama mwanamke anaangalia kitu kingine utajua unaangaliwa wewe.Aaaaaaah mo11 we unajua vile hawa watoto wakiwa kwenye ndiga wanavyopepesa
Wa kishua
Mfundishe na yeye wacha uchoyo mkuu. [emoji125] [emoji125] [emoji125]Dem wang hujui kudrive kabisa mahandw nakumiss mtt mzur
Wa kishua
Ndo ivo mzee hawa Watt wanatuumiza vichwanaona unawapa ukweli
Umeshau na ile ya kufunga mkanda na kupiga selfieHii imekuwa too much saa Yan madem wanaodrive wamejaa ushamba kichwani unakuta dem anaendesha kashusha vioo vyote uku anapepesa macho kuvuta attention Za masela
Kuendesha siku izi sio Ujanja kwanza kutembelea matako kunamaliza chura zenu tu afu hata gari ikikata wese anaanza kulia hujui tatizo nn mnaboa kinyama
Ishe boy smaind mademu wapenda attention Za kudrive
Wa kishua
Okay nimemuelewa mtt mzur miss you emmytaSasa nikupe siri wanawake huwa ni wadadisi sana hasa kwenye vyombo vya moto kuliko nyie wanaume mana ninavyoona hulijui hilo.
Nakupa hiyo.
Nakumiss wewe ujue nakukubali kinoma mrembo
emmyta Uwe unapandisha vioo bana mtasababisha tugongwe na magar ujueUjue ukishakuwa na mawazo mabaya hata kama mwanamke anaangalia kitu kingine utajua unaangaliwa wewe.
Hebu tuache bana.
aseeh poaNdo ivo mzee hawa Watt wanatuumiza vichwa
Wa kishua
Aaaaaaah akijua atanipanda kichwaniMfundishe na yeye wacha uchoyo mkuu. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Chura wetu n mashineMmh. Hivi kwani wanaume mkiendesha chura haiishi.
Sema tu una wivu mkuu.
Yap sisi tunawapiga mjeled tuChura wetu n mashine
[Color= yellow]Triple A[/color]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]emmyta Uwe unapandisha vioo bana mtasababisha tugongwe na magar ujue
Wa kishua
Poaa wa kishua mambo?Noma sana uyo dada
Mrembo mumu mambo
Wa kishua