Wacha mawazo ya kizamani bana.Aaaaaaah akijua atanipanda kichwani
Wa kishua
emmyta bana poa siku nikikuona nitakupiga full tank afu unipe lift Sawa mtt mzur[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Tatizo mkuu hujataka kutuzowea kwa sababu ukiona mdada kashusha vioo ujue a/c kama sio mbovu basi hapatani nayo. Ila kiukweli ni wanawake wachache wanaoendesha gari huku vioo vimeshushwa kwa sababu kwanza wale vibaka wakishaona anaendesha mdada walio wengi wanajua ndio wamepata pa kupora na hawashindwi kukupora hata mkoba ulioweka pembeni tena hadharani na wakakimbia nao.
Kwa hilo nakupinga mkuu wanaume ndio zenu hizo.
Fresh Ile mbaya apa nakuvutia Kas upoje nikiabgalia dp yakoPoaa wa kishua mambo?
tuwe na chura wanaume ili iwejeMmh. Hivi kwani wanaume mkiendesha chura haiishi.
Sema tu una wivu mkuu.
Eti eeee. Jipange aisee best mana usije ukakosa hela ya nauli. [emoji124] [emoji124]emmyta bana poa siku nikikuona nitakupiga full tank afu unipe lift Sawa mtt mzur
Wa kishua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Chura wetu n mashine
[Color= yellow]Triple A[/color]
Ahahahaha kizaman tena mbona kawaida mrembo emmytaWacha mawazo ya kizamani bana.
Masela si tunatembeza mjeled tu
Kwani mkuu mnaposema chura mnaamaanisha nini labda?
Ata nikimis nauli kwa mtt hot km we roho hairuki ujueEti eeee. Jipange aisee best mana usije ukakosa hela ya nauli. [emoji124] [emoji124]
Sio kikawaida bana kuna faida nyingi sana mnapojua kuendesha gari we na mwenza wako. Wacha uchoyo kila siku unataka umuendeshe tu.Ahahahaha kizaman tena mbona kawaida mrembo emmyta
Wa kishua
chura spesho kwa wana wake olyKwani mkuu mnaposema chura mnaamaanisha nini labda?
Na mkiendesha gari huwa mnakaa au mnafanyaje mkuu, hebu tuwekane sawa basi.
Afu mi sina Gari naendesha la brother so akijua narisk penz la baby ujueSio kikawaida bana kuna faida nyingi sana mnapojua kuendesha gari we na mwenza wako. Wacha uchoyo kila siku unataka umuendeshe tu.
Hivyo ikitokea unaumwa itabidi ukodi bajaj lol.
Kama sitakukwaza mkuu niambie nyie wanaume yale mnayokalia sijui mnayaitaje ..... hayawezi kuisha?
emmyta alikuwa anaturusha mzee Baba
Ooh. Kama hivyo sawa. [emoji2] [emoji2]Afu mi sina Gari naendesha la brother so akijua narisk penz la baby ujue
Wa kishua
Hapana mkuu nashukuru kwa kunijali sema Smart911 wangu kila leo ananiletea zawadi with full of surprises!! Zinanitosha.Hahaha hupend zawad kumbe mahandw
Ikubali ya kwangu tu
Wa kishua
Kwani mkuu mnaposema chura mnaamaanisha nini labda?
Na mkiendesha gari huwa mnakaa au mnafanyaje mkuu, hebu tuwekane sawa basi.