Mademu achen ushamba

Mademu achen ushamba

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Tatizo mkuu hujataka kutuzowea kwa sababu ukiona mdada kashusha vioo ujue a/c kama sio mbovu basi hapatani nayo. Ila kiukweli ni wanawake wachache wanaoendesha gari huku vioo vimeshushwa kwa sababu kwanza wale vibaka wakishaona anaendesha mdada walio wengi wanajua ndio wamepata pa kupora na hawashindwi kukupora hata mkoba ulioweka pembeni tena hadharani na wakakimbia nao.

Kwa hilo nakupinga mkuu wanaume ndio zenu hizo.
emmyta bana poa siku nikikuona nitakupiga full tank afu unipe lift Sawa mtt mzur

Wa kishua
 
Ahahahaha kizaman tena mbona kawaida mrembo emmyta

Wa kishua
Sio kikawaida bana kuna faida nyingi sana mnapojua kuendesha gari we na mwenza wako. Wacha uchoyo kila siku unataka umuendeshe tu.

Hivyo ikitokea unaumwa itabidi ukodi bajaj lol.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sio kikawaida bana kuna faida nyingi sana mnapojua kuendesha gari we na mwenza wako. Wacha uchoyo kila siku unataka umuendeshe tu.

Hivyo ikitokea unaumwa itabidi ukodi bajaj lol.
Afu mi sina Gari naendesha la brother so akijua narisk penz la baby ujue

Wa kishua
 
Hahaha hupend zawad kumbe mahandw
Ikubali ya kwangu tu

Wa kishua
Hapana mkuu nashukuru kwa kunijali sema Smart911 wangu kila leo ananiletea zawadi with full of surprises!! Zinanitosha.

Mkeo nae huwa unampa mpa zawadi lakini??? Make wanawake tunapenda sana kupewa zawadi hasa na waume zetu. Tunafurahi mno mnoo



Mahondaw wa Smart911
 
Kwani mkuu mnaposema chura mnaamaanisha nini labda?

Na mkiendesha gari huwa mnakaa au mnafanyaje mkuu, hebu tuwekane sawa basi.
380e4ac83a44ae41f7a4c080e7b66670.jpg


Angalia msela kadata na ladha ya chura apo

Wa kishua
 
Back
Top Bottom