Ocean road
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 631
- 304
- Thread starter
- #21
Mwanaume hana churaMmh. Hivi kwani wanaume mkiendesha chura haiishi.
Sema tu una wivu mkuu.
Wa kishua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume hana churaMmh. Hivi kwani wanaume mkiendesha chura haiishi.
Sema tu una wivu mkuu.
Wanazingua man afu mambo ya Kuendesha siku izi sio ishu tenaWachane tu, maana hamna namna
Teh teh. [emoji2] [emoji2]Mwanaume hana chura
Wa kishua
Hainaga wivu Sema wanatuzngua unakuta mtt kifua kakibust kinagusa usukan afu paja linaonekana loteWivu
Wa dar Hao tena wanapenda Kutafuta Kiki kwenye folen
Aaaaaaah mo11 we unajua vile hawa watoto wakiwa kwenye ndiga wanavyopepesawalikutimulia vumbi au wamekupiga vibuti ??
Mimi mgumu hatari chaliangu tena oldskuld. U-brazamen ni huko bongo ocean roadOi nambie braza men
Wa kishua
Imemchoma iyoInaonekana jiwe lipekupiga kisogoni [HASHTAG]#mtoa[/HASHTAG] mada
Aaaaaaah wanapenda Kuendesha ila hawajui hata tank la mafuta linakaa wapJuzi nimemkatia demu bima. Bima yake hata hajui inaisha lini kalia pale hana hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo yako tu mkuu.
Ganja girl mambo unapenda sponsor!!
Dem wang hujui kudrive kabisa mahandw nakumiss mtt mzur
naona unawapa ukweliVip mzee Baba
Wa kishua
Afu mzee Baba demu wako namuelewa kinyama