Mademu achen ushamba

Mademu achen ushamba

Hapana mkuu nashukuru kwa kunijali sema Smart911 wangu kila leo ananiletea zawadi with full of surprises!! Zinanitosha.

Mkeo nae huwa unampa mpa zawadi lakini??? Make wanawake tunapenda sana kupewa zawadi hasa na waume zetu. Tunafurahi mno mnoo

Mahondaw wa Smart911
Baby Nampa saprise kibao mara chupi, mara ice-cream, yaaan kila mara a
Kazoea ila hata nikikupa wew hailet shida ujue mrembo mahandw

Wa kishua
 
Baby Nampa saprise kibao mara chupi, mara ice-cream, yaaan kila mara a
Kazoea ila hata nikikupa wew hailet shida ujue mrembo mahandw

Wa kishua
Mi za sapriz Smart911 wangu zenyewe mpaka zinanizidia mpaka namwambia my king wait kidogo babangu these surprises are enough.

Shida anayo kama unamletea chepuko na hasemi hata kidogo shida ipo au labda hakupendi ila
Wee mkeo mpe tu akigeuka mpee akiinama mpee akilala mpee yani Wee mpe tu.. Tehtehteh

[emoji2] [emoji2] [emoji2] mahandw unaonekana we fund hatar kwa bed

Wa kishua
 
Ujue mkuu umetaka kuvunja mbavu zangu lol.

Haya bana mkuu hongereni mana mmeumbwa kipekee. [emoji2]
emmyta chura ya msela imejaa upele ule mgumu [emoji2] [emoji2]

Wa kishua
 
Back
Top Bottom