Mademu msije anza 'shobo' kwa Samatta

Mademu msije anza 'shobo' kwa Samatta

Alafu hao mademu wawili wa bongo movie wachawi kinoma msiniulize ushahidi
 
Hivi vimiili vyetu vitamu jamani?
Hongera Samatta kwa kuwa na mchumba mrembo....super model.
Mmependezana sana.

Kumbe Nifah ndio ulivyo shepu....na je upande wa rangi vipi..Rangi ya mtume au ya Shamsa Ford?
 
Asante mkuu,usijali siku hizi kuna option ya kufollow huku,nifollow unifuatilie vizuri.
Enjoy

Hapo kwenye kufollow hebu naomba nielekeze maana kuna mtu nataka niwe namfollow.😉
 
mpaka marais. magufuli na jk mpaka mkapa wamekiri kuwa samata ni TRUE TANZANIA ICON
 
wakuu eti kwa nini rais magufuli anamtambua na kumkubali zaidi samata kuliko yule best yetu?
 
Haya magazeti bhana sijui kweli ndi mana yakaitwa ya udaku yameandika hivi "" Wema ampigia samata simu wakaongea zaidi ya masaa"

Hasaa sijui anataka nn!!!

Hii kasumba ya mademu wa bongo kupenda mastaa
 
Haya magazeti bhana sijui kweli ndi mana yakaitwa ya udaku yameandika hivi "" Wema ampigia samata simu wakaongea zaidi ya masaa"

Hasaa sijui anataka nn!!!

Hii kasumba ya mademu wa bongo kupenda mastaa
Hahahahaaa huo umbea tu wa kina Shigo bwana
 
12509406_901164283332449_838937700992685518_n.jpg
 
Mbwana lazima ashauriwe kitu hiki....aachane kabisa na mademu wa bongo movie kwani si wanawake ambaye mtu unaweza kuoa na kuweka ndani. Wao wamezoea kuchezewa na kuachwa kwenye mataa na kila pedesheee hapa mjini. Kingine, asipokee kabisa simu za Wema atamlostisha na kubaki kicheko. Wema si mtu wa kuwa naye karibu, yeye hutembea na hirizi kupata wanaume....anawatumia pesa zikiisha anatafuta mwingine. Mbwana be smart, you don't need women type ya Wema ama Lulu na wala usiwaguse....wenzako wanatmbea na mizizi ukiwagusa tu kimwili unajisahau na kipaji kinakwisha, usipo angalia utabaki kama Hasheem Thabeet.....mbwembwe nyingi na sasa yuko tu alosto anajuta.


BTW: Unajuwa nini kilichomsibu Hasheem, kujiona super star na kutembea na mademu wa bongo movie na vipashikuna vya mjini.

cc: Jokate Mwegelo
 
Wema aka jamvi la wageni aliishaanza kujisogeza kwa jamaa, anadhani atamnasa na huyu kama alivyofanya kwa big brother
 
Back
Top Bottom