evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,333
kaa mbalii na washirikina waleeeeeeeeeeeee,...atake asitake watampataaa2,..Wema Sepetu hatojali kuwa Samatta ana mwenza au hana,
yeye ni kuchanua tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaa mbalii na washirikina waleeeeeeeeeeeee,...atake asitake watampataaa2,..Wema Sepetu hatojali kuwa Samatta ana mwenza au hana,
yeye ni kuchanua tu.
Anamendeaaaaaaaaaaaaaaaaa mdo mdo doooooooooooooo
Hivi vimiili vyetu vitamu jamani?
Hongera Samatta kwa kuwa na mchumba mrembo....super model.
Mmependezana sana.
Asante mkuu,usijali siku hizi kuna option ya kufollow huku,nifollow unifuatilie vizuri.
Enjoy
Kwa umri wa Wema, Samatta ni mwanaye wa kumzaa kabisaaaaa.
Alhamdulillah ya Mtume....Kumbe Nifah ndio ulivyo shepu....na je upande wa rangi vipi..Rangi ya mtume au ya Shamsa Ford?
HahahahaaaHapo kwenye kufollow hebu naomba nielekeze maana kuna mtu nataka niwe namfollow.😉
Hahahahaaa huo umbea tu wa kina Shigo bwanaHaya magazeti bhana sijui kweli ndi mana yakaitwa ya udaku yameandika hivi "" Wema ampigia samata simu wakaongea zaidi ya masaa"
Hasaa sijui anataka nn!!!
Hii kasumba ya mademu wa bongo kupenda mastaa
Mashallah basi utakuwa bomba sana..Maana tayari nisha imagine jinsi ulivyo..lolAlhamdulillah ya Mtume....
Hahahahaaa
Unatumia simu au PC?