Bado hamjamuelewa RAIS kuhusu dhana ya ubanaji wa matumizi. Namba ya kazi gani? yaani nikajaze vocha nimpigie nimwambie ujinga naye aukubali alafu tukafanye ujinga na hela nikatoe na kuchoka humohumo😛😛😛
mm nikiridhika na bidhaa njiani, nabadilishana nayo namba..nahakikisha ameiandika kabisa ameisevu namba yangu nami yake...alafu hataona napiga simu wala sms kumtumia. Nmefanikiwa sana ktk hili😀😀😀😀😀😀