And vice versa!! Sio KE tu hata nyie ME
Na wenye kuringa waacheni waringe kwa raha zao. Siku mkijua kiduku lilo ni gate man wa crdb Bank msishtuke coz hapa ni mtandaoni, waacheni watu wajinafasi na kufurahisha nafsi zao vile wanaweza.
Kuna ID nitazizamia PM siku sio nyingi, nilikuwa nahisi ni wababa kumbe vichaliii tu vya size ππππππ

Sina hata huo muda ndugu, me nimeropoka tu ππNgoja nifunge pm yangu mapema naona una mpango wa kuwaumbua watu
got you mamySina hata huo muda ndugu, me nimeropoka tu ππ
tafadhali tu asije akaitwa hapa, atanisikitikia mpaka choziHahaha! Mkuu umenifurahisha san.
Kiduku Lilo akiona hapa lazima aanzishe uzi. Utasikia natokwa na machozi ya huruma.
Natumia GMC sijui Shangingi 22, Sijui utasikia alienda NASA kufanya Interview.
Depal jiandae kupewa milion 5 Ya Bando
Kabisa!!Kabisa, hata nyie wanaume acheni kujikweza
tafadhali tu asije akaitwa hapa, atanisikitikia mpaka chozi
5M ya bundle πππ
Mwalike kwenye ile mada yetu ajionee vitu adimuAnd vice versa!! Sio KE tu hata nyie ME
Na wenye kuringa waacheni waringe kwa raha zao. Siku mkijua kiduku lilo ni gate man wa crdb Bank msishtuke coz hapa ni mtandaoni, waacheni watu wajinafasi na kufurahisha nafsi zao vile wanaweza.
Kuna ID nitazizamia PM siku sio nyingi, nilikuwa nahisi ni wababa kumbe vichaliii tu vya size [emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
πππHahaha! Jamaa anamikwala huyo. Ila sidhani kama ananifikia mimi.
Njoo PM mara moja Depal
Ngoja nikamtagMwalike kwenye ile mada yetu ajionee vitu adimu
[emoji12][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]sijui nimo? [emoji85]And vice versa!! Sio KE tu hata nyie ME
Na wenye kuringa waacheni waringe kwa raha zao. Siku mkijua kiduku lilo ni gate man wa crdb Bank msishtuke coz hapa ni mtandaoni, waacheni watu wajinafasi na kufurahisha nafsi zao vile wanaweza.
Kuna ID nitazizamia PM siku sio nyingi, nilikuwa nahisi ni wababa kumbe vichaliii tu vya size [emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Wanaume wote wa jf tuna hela, ndiyo maana wadangaji wengi wanajiunga jf kwa kasi wakijua kabisa huku hakosi hela ya pango.Kabisa, hata nyie wanaume acheni kujikweza
πππ yawezekana ukawemo[emoji12][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]sijui nimo? [emoji85]