Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Mabaharia wenzangu acheni kuogopa kuwatongoza mademu wa Jf Kwa sababu mademu wa humu ni hao hao wa mtaani tunaoshinda nao, cheka nao ana ata kukaa nao kitaa kimoja,
Msiogope kuzama Pm kwao kwa kuwaona labda ni Wanawake wa class flani hivi sio kweli,
Hao ni hao hao wakina Amberruty, Mwajuma wa kwamtogole, jane, lightness, Anna, Amina, Rachel, wale wanaokudanga, beki tatu wa hapo home kwako NK.
Mademu wa humu hawana Dunia yao Mabaharia tujitahidi kuwazamia PM na kuwang'oa ata kinguvu,
Wanakuwaga tu na Maneno classic lakini wote sio classic kama tunavyowachukulia,
Cc Zero IQ