Mademu wa kishua ni mzigo

Mademu wa kishua ni mzigo

Hakuna tuzo ya mtesekaji bora
Kama unampenda mnunulie machine za kurahisisha kazi au uwe unamsaidia kazi nyingine.
Kula viporo sio ujanja wala ushamba...pikeni chakula cha kutosha kwa wakati huo kiishe.
Kama umemchoka waachie Wana usimtafutie mwenzio sababu
 
Jf ina wanaume/wavulana washamba sana yani:
1. Huwezi kupata binti mrembo mwenye mvuto halafu awe anafanya kazi kama fuso..never

2. Huwezi pata cheupe mwenye shepu, awe mcheshi, mwenye mahaba na mchapakazi kama msukule.

Note; ni ngumu kupata vyote;

Chukua hii;

Chagua mwenye tako, mrembo...mvivu
Au mchaoakazi kama punda..shapeless, tako less au

NK.
Mwanamke hawezi kupewa vyote, wewe chagua mwenye sifa kadhaa na madhaifu yake iwe ndio gharama ya upendo
 
Demu kupika anasema anachoka, yani kuna muda anapika chakula cha usiku mchana ili usiku asipike tena.

Kufanya usafi ndani ni shida eti anasema mgongo unamuuma akiinama sana.

Vyombo akishakula usiku ni kazi kuvitoa, yani anaweza kuviacha kwenye meza mpka kesho yake.

Kiporo hawezi kula, na anasema tumbo linamuuma akila viporo.

Nafikiria endapo nikimuweka ndani si ndio atakuwa TipwaTipwa huyu, yani Kazi zote si atakuwa anamuchia Dada wa kazi.

JAMANI WATOTO WA KISHUA NI TABU KUISHI NAO.
akishindwa kuosha vyombo tu aise kwingineko ni pazito mno inahitaji ustahimilivu wa kiwango cha juu sana....

Shukuru sana ikiwa anakuskiza, anapokea maelekezo kiungwana na anafundishika....
That one unaweza songa nae taratibu....
 
Back
Top Bottom