Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Utajua hujui 😅😅Kumbe ni hit and stuck 😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajua hujui 😅😅Kumbe ni hit and stuck 😅😅
Ila sio mbaya.....kwake nishafika, sihitaji tena kwenda kwingineUtajua hujui 😅😅
🤣🤣🤣Nachokupendea mtumishi una taarifa zote za waumini wapya,binamu yangu yupo hapa pembeni ananiangalia lakini Leo Mimi nimehamia nifanye mazungumzo na wale mabinamu wanne kutoka Capetown vineyard,sijajua mdogo wangu Lamomy Yuko na anafanya mazungumzo na nani?malizana kwanza na huyo binamu yake Joannah uncle Cmorgan kutoka songea huko ndrani ndrani kabisa usije paliwa kweli 🤣 🤣
Nafanya mazungumzo na baba mchungaji atume bill ya hao binamu zetu wanne 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nachokupendea mtumishi una taarifa zote za waumini wapya,binamu yangu yupo hapa pembeni ananiangalia lakini Leo Mimi nimehamia nifanye mazungumzo na wale mabinamu wanne kutoka Capetown vineyard,sijajua mdogo wangu Lamomy Yuko na anafanya mazungumzo na nani?
Mmmh hapana,au ndio MC pilipili kaja kivingine eti Tlaatlaah MC pilipili baada ya kuua kanisa kasema anafanya injili online,je ndiwe?Nafanya mazungumzo na baba mchungaji atume bill ya hao binamu zetu wanne 🤣🤣🤣
Ila mchungaji kuna mtu namfananisha naye ww bado hujahisi kitu?!
aah ndio nimeona hii saivv na nimeshafika nyumbani aise🐒Nafanya mazungumzo na baba mchungaji atume bill ya hao binamu zetu wanne 🤣🤣🤣
Ila mchungaji kuna mtu namfananisha naye ww bado hujahisi kitu?!
mama tupo nae kwenye maombi mazito sana ya utulivu hiv sasa,Mmmh hapana,au ndio MC pilipili kaja kivingine eti Tlaatlaah MC pilipili baada ya kuua kanisa kasema anafanya injili online,je ndiwe?
Neema ya bwana wetu Yesu Kristo,na Rehema na upendo wa baba Mungu,Ukammiminikie ila asafishwe Kwa damu ya Mwanakondoo apate kububujikwa na furaha na amani ya kweli ya Kristo,Ili aachane na Majuto ya pale alipoteleza....Hilo likawe SoMo kwako maana neno linatuasa jiangalie sana wewe ujidhaniaye imesimama usije ukaanguka....jitafakari katika mapito na mienendo yako baba fake Prophet...🥲🥲🥲mama tupo nae kwenye maombi mazito sana ya utulivu hiv sasa,
japo tulimshauri tangu mwanzo sana kwamba hii kulialia machozi ati unapenda sana hii mwanamke publicly not healthier, mambo hugeuka saa zingine...
mwanaume kamili ata kama amepigwa ngumi na makofi na bibi yake huko ndani analia machozi chumbani ilimradi mtu mwingine asione...
Sasa mtumishi huyu alikosea kidogo na kwa Neema na Baraka za Mungu tutarekebisha
Ameyatimba🤣🤣🤣Ataoa tu
Km alijua hapa ni hit n run atajua hajui🤣🤣🤣
umeshiba mama inatosha,Neema ya bwana wetu Yesu Kristo,na Rehema na upendo wa baba Mungu,Ukammiminikie ila asafishwe Kwa damu ya Mwanakondoo apate kububujikwa na furaha na amani ya kweli ya Kristo,Ili aachane na Majuto ya pale alipoteleza....Hilo likawe SoMo kwako maana neno linatuasa jiangalie sana wewe ujidhaniaye imesimama usije ukaanguka....jitafakari katika mapito na mienendo yako baba fake Prophet...🥲🥲🥲
Amina🙏🙏🙏umeshiba mama inatosha,
kwani mekula nini mama?
mbona umechangamka isivyo kawaida 🤣🤣
Hata na hivyo nimejiskia kuomba pamoja na wew saa hii,
Asanti Yesu kwa kukubali kubeba aibu yangu na ya mama yangu mpendwa sana wa kiroho Joannah na wengine,
nakushukuru kwa kuchukua huzuni na dhambi zangu, asant Yesu kunuhurumia.
Ee Yesu uliedharauliwa na kukataliwa na watu, adhabu ya Amani yetu ilikua juu yako pale msalabani calvary...
mtumishi wako nisiestahili Tlaatlaah saa zingine pia nadharauliwa na kukataliwa, usiniache peke yangu bali niimarishe mimi na watumishi wako wote nisonge mbele kwa Imani bila kuchoka wala kukata Tamaa....
Damu ya Yesu Kristo itufunike sote tunapopumzika saa hii,
Aimen..
🤣🤣🤣Si muoaji anasema nyie mtakuwa mnakesha Kwa maombi Ili kupambana na wanga wa penzi lenu,ndio namwambia sisi tunataka wapwa hayo mambo ya mkesha peleka kawe😁😁🤣🤣🤣🤣🤣 kwann vuka na chako
Nimechekaaaa
🤣🤣🤣 muoaji Ana mbwembwe huyu🤣🤣🤣Si muoaji anasema nyie mtakuwa mnakesha Kwa maombi Ili kupambana na wanga wa penzi lenu,ndio namwambia sisi tunataka wapwa hayo mambo ya mkesha peleka kawe😁😁
🤣🤣🤣😳😳😳😳😳Sisi kama familia tunataka mtuletee wapwa,hayo mambo ya mkesha subirini vuka na chako Missy Gf
Hapo sawa shemejiNimeokoka siku hizi.....sitaki Tena mashangazi 😅😅
😂😂😂 Sijakutisha bana, sema hujanielewa nilichomaanishaMela mbona unanitisha sasa? 😅😅