Mademu wa kishua ni mzigo

Mademu wa kishua ni mzigo

Tuko pamoja. Tena wewe tutakupa kipaumbele Cha kuchagua jina la first born wetu 😅
Oyooooooo!! Bff Missy Gf ueke akilini hilo, sio mtoto kazaliwa uanze kutoa majina yenu ya ukoo 🤣🤣🤣
Shem jina nishaandaa, fanya mambo ndoa ipite kabla pasaka
 
Oyooooooo!! Bff Missy Gf ueke akilini hilo, sio mtoto kazaliwa uanze kutoa majina yenu ya ukoo 🤣🤣🤣
Shem jina nishaandaa, fanya mambo ndoa ipite kabla pasaka
Ameen ngoja nimsisitize asijesingizia kwaresima
Ikibidi valentine iwe engagement
 
Kama anamsabwandaah,vumilia...kama flat kama shemeji zangu wanyakyusa fukuza,Tafuta maajabu! Hutajuta.
 
Back
Top Bottom