Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,345
- 5,718
Hivi ukienda bar ni lazima kuwe na babies [emoji1787][emoji1787] sisi wanaume [emoji1787][emoji1787] na tuna ndoa zetu kabisa
Shida yake itakuwa pale anataka kuondokaHehehe!! Haya jiache, kuna bar huwa naskia hawana vya curfew wala nini, nenda pale mkabala wa Kahawa barracks, hutumika sana na wanajeshi wa KDF na wale huwambii kitu kuhusu curfew.
Shida yake itakuwa pale anataka kuondoka
Thanks. Nilipita maeneo hayo ya Town Jana. Nikasikia miziki ya ma Clubs. Okay ntakupa mrejesho. Pia tofauti ingine bar zenu za Magorofani si tamu kivile. Tz tumezoe mambo ya ground. Haha anyway bear ni tamu Ke. Sema Bei nayo iko juu sana.Hehehe!! Haya jiache, kuna bar huwa naskia hawana vya curfew wala nini, nenda pale mkabala wa Kahawa barracks, hutumika sana na wanajeshi wa KDF na wale huwambii kitu kuhusu curfew.
Thanks. Nilipita maeneo hayo ya Town Jana. Nikasikia miziki ya ma Clubs. Okay ntakupa mrejesho. Pia tofauti ingine bar zenu za Magorofani si tamu kivile. Tz tumezoe mambo ya ground. Haha anyway bear ni tamu Ke. Sema Bei nayo iko juu sana.
Mfano Tusker moja hapa ni Ksh 230 sawa Tsh 5000. Wakati Tz Tusker ni tsh 1500/= sawa na Ksh 70/=
Hivyo bear moja Ke ninzaidi ya bear 3 Tz.
Anyway Tz maisha rahisi sana.
Haha. Naongea kwa kulinganisha at local level.Ulisema unazo pesa tayari umeanza kulia lia, Nairobi njoo ukiwa na pesa raha itakufuata yenyewe, bei ya beer hutegemea na maeneo, hata Bongo kama sijasahau bei ya beer Masaki haiwezi ikawa sawia na ya Buza kwa Mpalange.
Hivyo wewe tafuta maeneo Nairobi yanayoendana na mfuko wako utaenjoy tu.
Yeye amekuambia yupo hapo Nairobi west ambako amelinganisha na Sinza, na hizo Bei amelinganisha Sinza na Nairobi west. Hivi hata Kama unazo pesa hupaswi kutumia kwa bajeti?, Unazimwaga hovyo kwasababu unazo, hata ukiambiwa chupa ya Tusker ni $20 usijali?. Hiyo ndio tofauti ya Kenya na Tanzania, MO na Bakhresa hawana Private jets Wala helcopter wakati Willium Rutto anazo helcopter Tano,[emoji1][emoji1][emoji1]Ulisema unazo pesa tayari umeanza kulia lia, Nairobi njoo ukiwa na pesa raha itakufuata yenyewe, bei ya beer hutegemea na maeneo, hata Bongo kama sijasahau bei ya beer Masaki haiwezi ikawa sawia na ya Buza kwa Mpalange.
Hivyo wewe tafuta maeneo Nairobi yanayoendana na mfuko wako utaenjoy tu.
Haha Ruto ana Helicopters 5 duh. Chef Hustler.Yeye amekuambia yupo hapo Nairobi west ambako amelinganisha na Sinza, na hizo Bei amelinganisha Sinza na Nairobi west. Hivi hata Kama unazo pesa hupaswi kutumia kwa bajeti?, Unazimwaga hovyo kwasababu unazo, hata ukiambiwa chupa ya Tusker ni $20 usijali?. Hiyo ndio tofauti ya Kenya na Tanzania, MO na Bakhresa hawana Private jets Wala helcopter wakati Willium Rutto anazo helcopter Tano,[emoji1][emoji1][emoji1]
Mtafute komora096.....komora njoo huku kunamgeni ako na chapa ya kutosha anataka umtembeze nairobiMimi mtanzania nina kazi yangu kama ya mwezi ntakuwa hapa .
Tatizo sijui jiji hili raha mnakula wapi hela ninazo sijui pa kwenda kidogo nilienda nairobi west baa inaitwa alaska nikahisi nipo dar mitaa ya sinza.
Tumesha mstua komora096Subiri wazoefu waje, mimi tangu niache pombe miaka kadhaa sasa mji wa Nairobi mida ya usiku huwa kama mgeni.
Ukiwa na hela yako na kama kweli wewe mjanja wa Dar mbona unakatiza katiza tu freshi, tafuta dereva wa taksi akuonyeshe mautamu yote ya mji.
Kushangaa aimaanishi hana pesa ,ndiyo maana tunawaambia dola moja ya marekani inafanya mambo mengi mara 3 tz kuliko kenya ,kwahiyo mishahara yenu ni midogo kuliko tz kwa kutumia hiyo hesabuUlisema unazo pesa tayari umeanza kulia lia, Nairobi njoo ukiwa na pesa raha itakufuata yenyewe, bei ya beer hutegemea na maeneo, hata Bongo kama sijasahau bei ya beer Masaki haiwezi ikawa sawia na ya Buza kwa Mpalange.
Hivyo wewe tafuta maeneo Nairobi yanayoendana na mfuko wako utaenjoy tu.
Bei kulinganisha na huduma yaani the food taste nothing ,wali ndo vituko,mi huwa nakula bata Stockholm sasa nachoshangaa ni poor services with higher priceUlisema unazo pesa tayari umeanza kulia lia, Nairobi njoo ukiwa na pesa raha itakufuata yenyewe, bei ya beer hutegemea na maeneo, hata Bongo kama sijasahau bei ya beer Masaki haiwezi ikawa sawia na ya Buza kwa Mpalange.
Hivyo wewe tafuta maeneo Nairobi yanayoendana na mfuko wako utaenjoy tu.
Haha. Naongea kwa kulinganisha at local level.
Aisee kweli Wakenya hawatoenda motoni except politicians [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yeye amekuambia yupo hapo Nairobi west ambako amelinganisha na Sinza, na hizo Bei amelinganisha Sinza na Nairobi west. Hivi hata Kama unazo pesa hupaswi kutumia kwa bajeti?, Unazimwaga hovyo kwasababu unazo, hata ukiambiwa chupa ya Tusker ni $20 usijali?. Hiyo ndio tofauti ya Kenya na Tanzania, MO na Bakhresa hawana Private jets Wala helcopter wakati Willium Rutto anazo helcopter Tano,[emoji1][emoji1][emoji1]
Safi sana mzee uko vizuri mambo ya battles Tz vs Ke yaishie ule uzi. Kukitokea info za maeneo mwenyeji ni muhimu ili kusogeza life.Hata kwa local level bado umepotosha na naona kama nakushtukia madhumuni ya huu uzi ni ligi za kijinga na ungeiweka mapema tungeshushia ujinga tu maana huwa hatukawii kwenye hilo....waulize ndugu zako ambao huhagaika huku Kenyan news kila siku hehehehe!!!!
Nilifikiri umekuja kishkaji kama mwanaume tujadili kidume dume kumbe mwenzetu upo kwenye ule umbea wa Kitz, haya watakuja Wakenya wakupe makavu maana nimekushtukia hehehehe
Japo mimi sijanunua beer kipindi kirefu lakini hizo bei zako unapotosha kimakusudi, haiwezekani bei ya beer Nairobi iwe mara nne ya Dar kwenye bar za kawaida mtaani.
Hata bila ya corona panaboa mkuu, kuna lundo la taka na harufu za ajabu ajabu.Na hii corona panaboa sana
Du nilitaka kukuuliza uta enjoy vipi kenya wakati chakula ni kibaya sana ,mm kitu ninacho hofia kwenda kenya ni chakulaBei kulinganisha na huduma yaani the food taste nothing ,wali ndo vituko,mi huwa nakula bata Stockholm sasa nachoshangaa ni poor services with higher price