Béer zimetofautiana bei Mzee,
Hizi Lite ndio zinaunzwa from 1500/- (70ksh) pamoja la local lager zenye ujazo mdogo like 350mls.
Lager kubwa zinaanzia 2000 hadi 3000ts kwa Local béer, imported lager zinaanzia 3000k na kuendelea. Huku Imported zina kodi kubwa kuliko local, na pia cost of production iko chini a reason bei za vyombo ni kawaida sana,
Besides, wengi Bado wanatumia lager na imported kuliko lites,
Tazama hapa siku ya simba day juzi watu tunajilipua halafu tuingie uwanjani na Vibe, suala la kuwa bei ndogo haihusiani na watu kumudu, bongo watu wana pesa za matumizi, a reason wanajaza uwanja wa Taifa kwa viingilio
View attachment 1946636
View attachment 1946637
View attachment 1946638