Mademu wakali na baa nzuri Nairobi

Mademu wakali na baa nzuri Nairobi

Tickets Zilikuwa
Platinum 200,000 (9,000Ksh)
Venue A 30,000 (1,400ksh)
Venue B and C 20,000 (900ksh)
Round 5,000 ( 220 Ksh)

All Tickets were sold out before noon,

Plus spectators tulivaa new Simba Kit 35,000 Tsh (1,500ksh)
The kits were sold out a day before the match

Plus majority tunakuwa na hela ya bata, na pia hundreds travel from up to 1000km for the match,
Mpira ni pesa ndugu, don’t be deceived.

Tazama hizo smartphones zilivyowashwa hapo stadium
View attachment 1948683



View attachment 1948684
220ksh ... Mbona raisi hivyo, alisema no wonder mnajazana kirende na corona hii, alafu hapo kwa jezi nyote kuvaa mpya, kadanganye watoto, niliona picha hadi video ya simba day, wakulungwa wengine hata jezi hawana na wengine zao zimechakaa... Wacha chai Weee... 😂 😂 😂 😂 😂
 
220ksh ... Mbona raisi hivyo, alisema no wonder mnajazana kirende na corona hii, alafu hapo kwa jezi nyote kuvaa mpya, kadanganye watoto, niliona picha hadi video ya simba day, wakulungwa wengine hata jezi hawana na wengine zao zimechakaa... Wacha chai Weee... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wapo waliovaa jersey za last season, na waliovaa mavazi yasiyo jersey, but majority tulitinga uzi mpya. Wengi wa waliovaa jersey za last season walikosa Jersey mpya. They were all sold out a day before the event, mimi nilipata sababu nilinunua a week after launch, demu wangu pia alikosa new Kit.
Kuhusu viingilio hayo ni majukwaa tofauti as I said, soma Tena hapo usiwe zwazwa, jukwaa la mzunguko ndio that 220ksh from 350ksh last year.
All in all Camparing football in Kenya Vs Tanzania ni kama mbingu na kuzimu.
Korona iko huko kenya, huku sisi tulishakubali kuishi nayo from day 1 we got the first case here in Tz na hatujayumbishwa kwa lolote.
 
Back
Top Bottom