Mademu wanakaa wanadanganyana mambo ya ajabu matokeo yake wanalia kilio cha mbwa

Mademu wanakaa wanadanganyana mambo ya ajabu matokeo yake wanalia kilio cha mbwa

Stunter unatakiwa kuhundiwa tume ya uchunguza...!hizi habari hazikuhusu kweli?!
 
Hapana hilo limeniponyoka kipenzi... mimi tehna kwako. Kesho sio wikiendi ila nitaifanya wikiendi kwako nikupeleke wapiii
[emoji4] [emoji4] popote utakapoona pAnatufaa baby
 
Kuna dem mmoja nshawahi kumuona ametoka ndani ndukii huku anajipepea papuchi, mpaka akili zilipomrudia ndo akagundua kumbe yuko nje tena adharani, ikabidi arudi ndani fasta kwa aibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom