Mademu wengine bana, ili liwe funzo kwenu

Mademu wengine bana, ili liwe funzo kwenu

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Mademu wengine wana lawama...Wakisikia Boyfriend
wake AMECHEAT atapiga kelele...atamsuta "Umekosa
nini Mwanaume huridhiki,Utamaliza Nyama bucha
Ileile,kwani mi sikupiiii,si nakuuliza wewe Hasidi Fisadi
namba 1 wa Mapenzi usiyetosheka,Kwani Haikutoshi
hii?" Anatokwa Povu wakati In Reality HAKUNA
ANACHOFANYAGA...Anachojua ni Kubetua ile LOKI ya
Sidiria na Kujilaza Chanuu kusubiria Mkwaju..Baada ya
hapo anachojua ni makelele tu kama gari ya
takataka..Kazi yote ufanye wewe...Sasa kuna
wanawake huko nje wakikudaka lazima upagawe maana Ukifika mlangoni unadakwa kabla hata
hujavua viatu,Unafinywa Si kufinywa, Unameng'enywa na mchanganyiko wa Meno na Kucha
unabaki unaweweseka kama Kondoo aliyesahau
Mlango wa Banda..Khanga ikianguka Mtoto ana
Shanga kama 76 za rangi tofauti anakubidua,Mguu mmoja dirishani mwingine kwenye Feni..Ukija kutua
unasindikizwa na Busu la Sikio unaambiwa
Poleeee...halafu unapewa Juisi ya Embe huku
unakunwakunwa Ulale...
Sasa wewe unabetua Sidiria unatulia kama Ndama
mwenye Mdondo...Akimaliza unamwambia "SOGEA HUKO TULALE UNANIBANA"
Asipochepuka labda ni Mhashamu Askofu
Mwandamizi wa Kigango cha Mavurunza...
 
Kurupushani zote hizo duh[emoji35][emoji35] je ana hela?
 
Hahaa mguu mmoja dirishani mwingine kwenye feni[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom