sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Kelele ni nyingi uko Twitter utasema Majizo kaokota dodo chini ya mwembe. Naufananisha usajili wa Madenge kama usajili wa Mbwana Samatta pale Aston Villa. Usajili mbovu halafu mbovu tena.
Imefikia watu wanamuweka level moja na big thinkers wawili yani Masudi Kipanya na Gerald Hando. Mnawakosea heshima awa mabraza wapo level nyingine kabisa.
Muda ndio hakimu mzuri huyu jamaa inawezekana ni mzuri kwenye ku-tweet ila taaluma na kufanya uchambuzi wa issues kwenye media inatakiwa uwe mtu haswa.
Bahati mbaya kwa kumsikiliza huyo mshikaji bado uwezo wake na upeo wake ni mdogo pia kina chake cha maarifa ni kidogo mno yani ukimtoa kwenye masuala ya marketing na financial analysis umemuacha mweupe kabisa. Kikubwa zaidi akiongea havutii kumsikiliza tena na tena na pia sio flexible.
Baada ya miezi mitatu Majizo atatafuta mtu mwingine wa ku-cover ilo eneo. La sivyo listeners watakimbia.