Madenge wa Twitter ni usajili mbovu kuwahi kufanywa na Majizo wa EFM

Madenge wa Twitter ni usajili mbovu kuwahi kufanywa na Majizo wa EFM

Edo alibahatika kupata wahariri generation ya kwanza au ya pili kwenye magazeti wakamnyoosha pamoja na ubunifu wake ila kwenye radio sasa hakuna tena wale wahariri makini hivyo wengi wanajiongoza tu.

Uliza akina Kitenge waliopita kwenye mikono ya Charles Hillary, Julius Nyaisanga, John Ngayoma n.k unapata strong basics

Huwa anachanganya "a" na "h" mfano upo wapi ataandika hupo wapi? "Amesema" ataandika "hamesema"... Sasa na hicho kithethe kwenye kutangaza ndio shida zaidi... bora kwenye kuandika.... angekuwa mjanja angewahi mapema kuanzisha online media yake ili watu wamfanyie kazi otherwise anapoelekea tutaona mapungufu yake mengi
 
Back
Top Bottom