Madenge wa Twitter ni usajili mbovu kuwahi kufanywa na Majizo wa EFM

Nimecheka leo. Niliona clip ya efm huyo madenge akizungumzia forex. Anasema forex haipo regulated na BOT, anazungumza kwa kujiamini kabisa tena kwa kurudia rudia alafu watangazaji Wenzake wale wanamsikiliza kwa makini mno kwamba anaongea point.

Forex haipo regulated na BOT??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anachanganya sana mafile, forex na crypto
 
Mimi nikipata muda kesho ntajaribu kumsikiliza bwana Madenge, nitarudi kumrate hapa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah basi jamaa ni kilaza. Sas Forex Market na Crypto market, inakuwaje regulated na hizi central bank kwan wao ndio wamezitengeneza na wana central authority juu yake.
 
It takes dakika 3 za maongezi kumjua mtangazaji hodari. Gadna G akiwasha maiki akasema Assalam aleykum akafanya introduction unajua huyu ni mwamba hata uwe ndio unamsikiliza kwa mara ya kwanza.
Hujamalizia habari ya Gadna ...mkuu
 
Mie pia nilimskia akisema hivo ila kwakuwa sina ujuzi na hayo mambo nikakubali

Kwahiyo mkuu unataka kusema kuwa Forex ipo regulated na BOT?
 
Sasa SI ungeenda wewe Mbona na wewe unapaiga kelele humu
 
Bado mtaona mengi alafu mtapima wenyewe.
 
Wewe ndo hukuelewa
 
Edo kumwembe ni mwandishi mzuri ila havutii kutangaza.
Edo alibahatika kupata wahariri generation ya kwanza au ya pili kwenye magazeti wakamnyoosha pamoja na ubunifu wake ila kwenye radio sasa hakuna tena wale wahariri makini hivyo wengi wanajiongoza tu.

Uliza akina Kitenge waliopita kwenye mikono ya Charles Hillary, Julius Nyaisanga, John Ngayoma n.k unapata strong basics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…