Madeni ndo yanakuwa "on fleek" kipindi hichi cha mwaka

Madeni ndo yanakuwa "on fleek" kipindi hichi cha mwaka

Naona siku zinaenda ila mpunga unaenda kwa haraka zaidi

Sasa sijui huu mwezi unaisha kwa style gani, sioni mahali pa kukopa, madeni yaliyopo tayari siyaelewi elewi
majukumu yanazidi..nahisi kudata!

Kwenye ahueni kidogo ni wapi aiseeee?
Tuko wengi mkuu,mimi mwezi huu nimegundua kumbe usiku unaweza kulala kwa chai na maandazi 2 tu na usingizi unakuja...
 
Back
Top Bottom