Madeni ndo yanakuwa "on fleek" kipindi hichi cha mwaka

Madeni ndo yanakuwa "on fleek" kipindi hichi cha mwaka

Sasa maisha yalikua magumu nisikope nife
Huu mwaka sikopi kabisa, madeni yakikuzoea yanaweza kukufanya usiendelee. Kuna watu wengine wanatuingiza kwenye madeni kwa lazima, imagine unaenda kuchukua bidhaa kwa mtu then anakuambia we hela kaa nayo tu utanipa
 
Mie tangu asubuhi nimekaaa chini kabisa hata kwenye kiti hakukaliki kitandani hakulaliki nawaza sa itakuaje 😅😅😅
Mimi nilijua ni peke yangu kumbe tupo wengi mmenitia moyo sana hali ni ngumu sana isee..
Acha tupambane tuone!
 
Huu mwaka sikopi kabisa, madeni yakikuzoea yanaweza kukufanya usiendelee. Kuna watu wengine wanatuingiza kwenye madeni kwa lazima, imagine unaenda kuchukua bidhaa kwa mtu then anakuambia we hela kaa nayo tu utanipa
Heeee bora madeni ya hivyo 😊😊

Kuna yale ya lazima huna option yani
 
Naona siku zinaenda ila mpunga unaenda kwa haraka zaidi

Sasa sijui huu mwezi unaisha kwa style gani, sioni mahali pa kukopa, madeni yaliyopo tayari siyaelewi elewi
majukumu yanazidi..nahisi kudata!

Kwenye ahueni kidogo ni wapi aiseeee?
Usijali tupo wengi kitu kizuri uaminifu kwa wanaotudai pia majibu mazuri

Manake ukileta kiburi hapana
 
Back
Top Bottom