Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umeshapangia matumizi deni lipwa tarajari la mwezi ujao, ambao huo mwezi haupo kwenye kalenda.?Mwezi ujao kuna mpango wa serikali kulipa madeni ya watumishi na wazabuni, je madeni yanayohusiana na mishahara kama arrears yatalipwa?? Mwenye taarifa atujuze.!
Sasahivi ni mwaka 3 kwenye utawala wake hakuna mtumishi aliyepanda hata mmoja, usimwamini huyu mzee anachoweza kusema ukweli ni salama pekee.
SahauHivi vitashughulikwa vyote mwaka mmoja kabla ya 2020 au kabla ya octoba 2020
Novemba 2017?M
Madeni gani tena wakati vyeo vyote walivyopata watu kuanzia 2016 sasa hivi vinaanzia novemba 2017
Sasahivi ni mwaka 3 kwenye utawala wake hakuna mtumishi aliyepanda hata mmoja, usimwamini huyu mzee anachoweza kusema ukweli ni salama pekee.
Bora kuongozwa na shetani kuliko CCM....serikali ya kilaghai....wanahubiri wasichotenda.....Na utashangaa wanaposema mapato yameongezeka...mara oh uchumi unakua etc etc.....hamna lolote....maana mapato gani yanayoongezeka ambayo hayaleti Ustawi wa watu wake????...ama wanataka tuzidi kuamini yanyosemwa kuwa pesa zinaenda chato!!!...nchi hii watumishi wa umma hawazidi laki 7...sasa itakuwaje hawalipwi tujiulize..Na hela wanapata za kununua wanasiasa wa upinzani.....hizi laana hizi wanajichumia.....
Mkuu mbona mada umeikurupusha?Mwezi ujao kuna mpango wa serikali kulipa madeni ya watumishi na wazabuni, je madeni yanayohusiana na mishahara kama arrears yatalipwa?? Mwenye taarifa atujuze.!
Mkuu umefika mbali sana.Bora kuongozwa na shetani kuliko CCM.
Hili liko dhahiri though watendaji wa halmashauri zetu hawako sharp kuwaweka wazi watumishi wao. Hali hii huwafanya watumishi kuamini mambo yanaenda kumbe bado kuna sintofahamu.Watumishi mishahara itapanda 2019
- Wanachuki kaliii na sekta binafsi lakini Wanaikamua kodi mpaka tone la mwisho mapato yameongezeka...serikali ya kilaghai....wanahubiri wasichotenda.....Na utashangaa wanaposema mapato yameongezeka...mara oh uchumi unakua etc etc.....hamna lolote....maana mapato gani yanayoongezeka ambayo hayaleti Ustawi wa watu wake????...ama wanataka tuzidi kuamini yanyosemwa kuwa pesa zinaenda chato!!!...nchi hii watumishi wa umma hawazidi laki 7...sasa itakuwaje hawalipwi tujiulize..Na hela wanapata za kununua wanasiasa wa upinzani.....hizi laana hizi wanajichumia.....
Hongereni mliagana vyema na shemeji yenu.Nilianza kazi na mshahara basic 532000/=
Baada ya mwaka kikwete kkapandisha hadi 630000/=.
Baada ya mwaka kikwete kacheka tena hadi 716000/=.
Hadi leo hii nachezea hapo hapo sana sana bodi ya mkopo imenilamba zaidi kutoka 57000 hadi 107000/=.
Bora kuongozwa na shetani kuliko CCM.
- Wanachuki kaliii na sekta binafsi lakini Wanaikamua kodi mpaka tone la mwisho mapato yameongezeka
- Ajira mpya za kueleweka hakuna na watumishi wa umma waliopo LAKI 5 tu Wamemshinda. Taifa lina watu 50M hivi hao wengine anajua wanaishi vipi ?
- Vyeti feki umefuta, ajira hutoi, matumizi umebana, watumishi hewa umefuta PESA Zote umebaki KUHONGA Wapinzani eti wakuunge MKONO
- Hivi CCM mlikosa kabisa mtu wa kumpa urais, mkaona huyu jamaa kabisa ndo apewe ??!!