Tetesi: Madeni ya Mishahara kulipwa mwezi ujao

Mwezi ujao kuna mpango wa serikali kulipa madeni ya watumishi na wazabuni, je madeni yanayohusiana na mishahara kama arrears yatalipwa?? Mwenye taarifa atujuze.!
Mkuu umeshapangia matumizi deni lipwa tarajari la mwezi ujao, ambao huo mwezi haupo kwenye kalenda.?

Vuta subira mpka utakapoona mabadiriko kwenye akaunti yako na si mabadiriko katika social media.
 
Sasahivi ni mwaka 3 kwenye utawala wake hakuna mtumishi aliyepanda hata mmoja, usimwamini huyu mzee anachoweza kusema ukweli ni salama pekee.

Hivi vitashughulikwa vyote mwaka mmoja kabla ya 2020 au kabla ya octoba 2020
 
Nilianza kazi na mshahara basic 532000/=
Baada ya mwaka kikwete kkapandisha hadi 630000/=.
Baada ya mwaka kikwete kacheka tena hadi 716000/=.
Hadi leo hii nachezea hapo hapo sana sana bodi ya mkopo imenilamba zaidi kutoka 57000 hadi 107000/=.
 
...serikali ya kilaghai....wanahubiri wasichotenda.....Na utashangaa wanaposema mapato yameongezeka...mara oh uchumi unakua etc etc.....hamna lolote....maana mapato gani yanayoongezeka ambayo hayaleti Ustawi wa watu wake????...ama wanataka tuzidi kuamini yanyosemwa kuwa pesa zinaenda chato!!!...nchi hii watumishi wa umma hawazidi laki 7...sasa itakuwaje hawalipwi tujiulize..Na hela wanapata za kununua wanasiasa wa upinzani.....hizi laana hizi wanajichumia.....

Sasahivi ni mwaka 3 kwenye utawala wake hakuna mtumishi aliyepanda hata mmoja, usimwamini huyu mzee anachoweza kusema ukweli ni salama pekee.
 
...serikali ya kilaghai....wanahubiri wasichotenda.....Na utashangaa wanaposema mapato yameongezeka...mara oh uchumi unakua etc etc.....hamna lolote....maana mapato gani yanayoongezeka ambayo hayaleti Ustawi wa watu wake????...ama wanataka tuzidi kuamini yanyosemwa kuwa pesa zinaenda chato!!!...nchi hii watumishi wa umma hawazidi laki 7...sasa itakuwaje hawalipwi tujiulize..Na hela wanapata za kununua wanasiasa wa upinzani.....hizi laana hizi wanajichumia.....
Bora kuongozwa na shetani kuliko CCM.
 
Mwezi ujao kuna mpango wa serikali kulipa madeni ya watumishi na wazabuni, je madeni yanayohusiana na mishahara kama arrears yatalipwa?? Mwenye taarifa atujuze.!
Mkuu mbona mada umeikurupusha?
Title inaashiria wewe ndo unabrief watu juu ya hilo unalolikusudia kwa kusema "Tetesi".
Ukiangalia content, inaonesha huna ujualo zaidi ya kuuliza.
Utulivu unahitajika.Unaweza kukurupusha watu wakaenda kukopa unga na mchele kwa haraka kwa kuiamini heading yako.
 
Fika halmashaurini kwako km wewe ni mtumishi wa halmashauri. Kuna vitbu vya orodha ya watakaolipwa
 
...serikali ya kilaghai....wanahubiri wasichotenda.....Na utashangaa wanaposema mapato yameongezeka...mara oh uchumi unakua etc etc.....hamna lolote....maana mapato gani yanayoongezeka ambayo hayaleti Ustawi wa watu wake????...ama wanataka tuzidi kuamini yanyosemwa kuwa pesa zinaenda chato!!!...nchi hii watumishi wa umma hawazidi laki 7...sasa itakuwaje hawalipwi tujiulize..Na hela wanapata za kununua wanasiasa wa upinzani.....hizi laana hizi wanajichumia.....
- Wanachuki kaliii na sekta binafsi lakini Wanaikamua kodi mpaka tone la mwisho mapato yameongezeka
- Ajira mpya za kueleweka hakuna na watumishi wa umma waliopo LAKI 5 tu Wamemshinda. Taifa lina watu 50M hivi hao wengine anajua wanaishi vipi ?
- Vyeti feki umefuta, ajira hutoi, matumizi umebana, watumishi hewa umefuta PESA Zote umebaki KUHONGA Wapinzani eti wakuunge MKONO
- Hivi CCM mlikosa kabisa mtu wa kumpa urais, mkaona huyu jamaa kabisa ndo apewe ??!!
 
Nilianza kazi na mshahara basic 532000/=
Baada ya mwaka kikwete kkapandisha hadi 630000/=.
Baada ya mwaka kikwete kacheka tena hadi 716000/=.
Hadi leo hii nachezea hapo hapo sana sana bodi ya mkopo imenilamba zaidi kutoka 57000 hadi 107000/=.
Hongereni mliagana vyema na shemeji yenu.
 
..alafu utasikia wanajinadi eti watajenga uchumi wa viwanda!..my foot...uchumi wa viwanda wakati nguvu kazi yenyewe kwenye utumishi wa umma mmekalia stahiki zao..hivyo viwanda labda matumbo yao....so sad yani...

Bora kuongozwa na shetani kuliko CCM.
 
...anashindwa kuhudumia watumishi laki 6 ataweza wapi kuhudumia watanzania mil50!!...hii ni ndoto ya alinacha..huko kwenye ajira mpya ndio majanga maana wamebaki kuhadaa umma tu Na ahadi hewa za ajira.....Na watanzania kwa upole wao wamejinyamazia tu wanaugulia maumivu... Maana hata wakisema wanaitwa wachochezi....this is so pathetic.....hii dhambi hii itakuja kuwarudi....

- Wanachuki kaliii na sekta binafsi lakini Wanaikamua kodi mpaka tone la mwisho mapato yameongezeka
- Ajira mpya za kueleweka hakuna na watumishi wa umma waliopo LAKI 5 tu Wamemshinda. Taifa lina watu 50M hivi hao wengine anajua wanaishi vipi ?
- Vyeti feki umefuta, ajira hutoi, matumizi umebana, watumishi hewa umefuta PESA Zote umebaki KUHONGA Wapinzani eti wakuunge MKONO
- Hivi CCM mlikosa kabisa mtu wa kumpa urais, mkaona huyu jamaa kabisa ndo apewe ??!!

....anashindwa kuhudumia watumishi laki 5/6 ataweza kuhudumia mil50???hamna lolote....
- Wanachuki kaliii na sekta binafsi lakini Wanaikamua kodi mpaka tone la mwisho mapato yameongezeka
- Ajira mpya za kueleweka hakuna na watumishi wa umma waliopo LAKI 5 tu Wamemshinda. Taifa lina watu 50M hivi hao wengine anajua wanaishi vipi ?
- Vyeti feki umefuta, ajira hutoi, matumizi umebana, watumishi hewa umefuta PESA Zote umebaki KUHONGA Wapinzani eti wakuunge MKONO
- Hivi CCM mlikosa kabisa mtu wa kumpa urais, mkaona huyu jamaa kabisa ndo apewe ??!!
 
..yani utafikiri hii serikali lengo lake ni kuzidisha umaskini.....majuzi tu wamefungia benki.....huko sekta binafsi hakushikiki kwa makodi tele yasiyo na mbele wala nyuma...sasa unajiuliza hii serikali inataka kweli Ustawi wa watu wake???ama sera yao ni kuwaongezea umaskini RAIA ili waendelee kuwa desperate....alafu wakati wa uchaguzi waje Na vipande vya nguo na Ugali wa siku moja kuomba kura kwa maskini waliojichokea....kwa mtu makini utaona hii ndio hidden agenda.....at least kwa lojiki ndogo tu ya kawaida...

Back
Top Bottom