Madeni ya Taifa: Kuna kitu very serious CAG amekisema. Hii kitu haiko sawa. Je, tunakwenda wapi?

Poel sana Binti!
wewe 2008 unahoja ipi?
Badala ya kujibu hoja unaanza kudiscuss mtu!
Hakuna hoja hapo ndo maana nimekujadili wewe; Ni ushauri mzuri tu kwamba, ongeza reasoning ingawa ni vigumu kujilazimisha kama hukujaliwa uwezo wa kujifunza. Nikimaanisha, kama brain architecture haikuwa sawa tangu utotoni.
 
so hii yako ndio unaiona sawa!
maana niliweka hoja kujibu mtu,
wewe ukakimbilia kuniattack mimi, kweli unanjiona upo sawa au upo katika zile siku zenu(huwa mnakuwa na hasira sana) binti ?
 
so hii yako ndio unaiona sawa!
maana niliweka hoja kujibu mtu,
wewe ukakimbilia kuniattack mimi, kweli unanjiona upo sawa au upo katika zile siku zenu(huwa mnakuwa na hasira sana) binti ?
That is exactly what I call poor reasoning! unajibizana nami, lakini unaandika siku zenu. sas akina nani? Yaani unatukana jamii nzima ambayo unaamini sisi tumo, pamoja na mama yako, na dada yako. Ndiyo hiyo nasema brain iligoma zamani!
 
Hata kazi za CAG huzijui wewe.................
 
Katika bajeti ya mwaka 2018-2019 serikali ilitarajia kupata jumla ya shilingi Trilioni 32.48 kutoka katika vyanzo vyote vya ndani na nje, mchanganuo wa mapato yaliyopatikana hadi April, 2019 ni Trilioni 12.9 sawa na 87.4%
Mkuu Beth, asante kwa bajeti ya serikali, enzi za JK, budget day huwa ni siku muhimu sana, siku hiyo rais hapangiwa shughuli zozote hata kama kuna ugeni, haupangiwa kuja on budget day.

Hizi hesabu zimekaaje? au mimi ndio nazeeka nashindwa kufanya calculus?. Umepanga kukusanya tirilioni 32.48, ukafanikiwa kukusanya tirilioni 12.9 tuu, hata nusu haijafika, halafu unatuambia hii ni.87.4%?!

Tuelewesheni maana sisi wengine hesabu ni mbingu na nchi.
Changamoto za kibajeti zinaendelea.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…