Madeni ya Taifa: Kuna kitu very serious CAG amekisema. Hii kitu haiko sawa. Je, tunakwenda wapi?

Duh!!!
Ulioteshwa?
 

Shikamoo jamani
 
Hiyo asilimia inabase kwenye mapato ya ndani makusanyo ya kodi ndani na nje ya nchi, bajet ilitopita makadirio ni T 14.8 lakini mafanikio ni T 12.9. Sisi tunaweza kujitegemea kwa bajeti yetu kwa asilimia 46 tu. Hiyo asilimia inayobaki tunategemea michango ya wahisani na mikopo nafuu. Hivyo CAG aliangalia kile ambacho tuna uwezo nacho tu.
 
I see!!! nilimsikiliza msiba, this means ndege zetu zfanye root za ndani tu hadi tumalize madeni hatarishi kwa properties zetu zinazoweza kamatwa nje? Ang'hh mabeberu watu wabaya sanaaa..!¡!!

Halafu wewe Paschal Mayala inabidi usajili huo utabiri wako utambulike rasmi ili uwe unafanyiwa kazi na serikali, ss hii ni nini sasa hii?? Eee..???
 
Nimepitia mabandiko tu katika pita pita nikaona ninukuu baadhi ya sehemu. Hizi ni kumbukumbu za JF.

Nikisoma vitu kama hivi huwa napata tabu kutofautisha Uzalendo, uchochezi na usaliti.

Huyu bwana aliyeandika aliona kukaa kimya ni aina ya ''Usaliti'' kwani aliona tatizo.
Akaongozwa na Uzalendo kusema anachokiona ni kwa faida ya nchi yetu.
Bandiko liliposomwa likaonekana kama uchochezi!

Haya mambo ni magumu has sisi wenye vichwa vidogo na tete! Tuyaache yalivyo
 
Haha wenye akili kubwa walishalisemea hili mapemaaaa, ila wakaonekana mapoyoyo. Joka mlilolifuga wenyewe limewageukia. Ukiona kwenye familia baba ananunua nyanya, majani ya chai na mpaka vijiko jua huyo mzee anamatatizo
 
KWA SASA NAJUA PASCHAL UNAJUTIA NI KWA NINI ZAMANI ULIKUWA UNAANDIKA UKWELI! POLE SANA KAKA. NAKUMBUKA ENZI HIZI ULIKUWA UNAANDIKA KAMA MWANDISHI WA KWELI COMPARED TO YOUR LATEST POSTS!
 
Hapa Paskali uliutendea haki ubongo wako aisee.
Laiti saa ingekuwa inarudi nyuma humu JF tukawa na Pasco au just Paschal Mayala wa 2016 na 2017
Paschal wa sasa feki
Mtakuwa hamjamuelewa mleta mada,
Ama mleta mada mwenyewe kajichanganya.
Mlipaswa kupata ufafanuzi.
Bajeti ya serikali huwa kuna upande wa mapato ya ndani na ule wa misaada ya wahisani/mabeberu.
Ambacho anazungumzia mzee wa 80s percent ni upande wa kwetu ambao ni wa makusanyo ya ndani.
Tofauti na hapo hesabu zake ni fake
 
Hii uliandika kabla haujasema uncle ni benovelent dictator?
 
Hii uliandika kabla haujasema uncle ni benovelent dictator?
Soma tarehe ya bandiko hili
P
 

Unabii umeanza kutimia,na mwenyemacho ataona ulimaanisha nini.
 
2017 March mambo yameakisi 2019 August Mungu atete nasi kujinusuru na Jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…