Madeni ya Taifa: Kuna kitu very serious CAG amekisema. Hii kitu haiko sawa. Je, tunakwenda wapi?

Madeni ya Taifa: Kuna kitu very serious CAG amekisema. Hii kitu haiko sawa. Je, tunakwenda wapi?

Tumtakie CAG Mstaafu, Prof. Mussa Assad kustaafu kwema na amestaafu kwa heshima na kwa mujibu wa sheria na sio kwa hoja zozote za vitatange na vibirifitina, jina lake litaandikwa kwenye kile kitabu cha mashujaa wa kweli wa taifa wetu.

Karibu CAG Mpya, Charles Kicheere, tunakutakia kazi njema.
Paskali
 
Muandikie kwa Kisukuma mkui
 
Kiukweli Pascal Mayalla yuko underrated both na wasomaji wasio makini pamoja na Serikali, Pascal ana maono kutokana na kuwa mbobezi kwenye fani yake. Mimi namfahamu kabla ya hizi social media. Pascal ana ubunifu na uthubutu wa hali ya juu. Ubongo wake una photographic memory na uwasilishaji wake wa mada uko methodical. Ndiyo mtu wa kwanza kuanzisha kipindi cha ukosowaji wa wazi kupitia kipindi cha Kitimoto by then.
Kwa hiyo haya yanayojionyesha leo kutokana na andiko hili yana tupa dira ya nini kifanyike kwa Tanzania yetu ya baadaye.
Miaka hii 4 Pascal Mayalla ameandika mengi sana, laiti JPM angekuwa anashaurika angetafuta namna ya kutafsiri machapisho ya Pacal na naamini angevuka salama 2020 na hali ya uchumi na siasa isingekuwa hivi iluvyo.
Hongera Pascal kwa kukosoa na kutoa masuluhisho. Wasamehe wanaokuhukumu kwa kuwa Msukuma na kudhani unatetea mapungufu ya awamu hii ya 5 inayokuwa branded kama ya Wasukuma. Wewe uko tofauti sana, Unastahili tuzo ya uandishi uliotukuka
Spot on paskal

Nina mawazo tofauti kwa Kicheere kuwa CAG;
Alimtumbua kwa madai kuwa hatoshi kuwa CG-TRA na kum demote kuwa RAS"
Kwa kumteua tena kuwa CAG ni kuahalisha ufisadi tu. Ni mbinu za kum shake kisaikolojia ili awe na adabu na mteuzi. Una panda cheo hadi Kamishna wa TRA una enjoy ukuu ghafla unapigwa mtama hadi kuwa RAS bila kutegemea na unanyong'onyea kisha unapewa madaraka yasiyo hojiwa na inakubidi ujikunyate kwa mteuzi kuwa ni mwokozi wako.
 
Spot on paskal

Nina mawazo tofauti kwa Kicheere kuwa CAG;
:Alimtumbua kwa madai kuwa hatoshi kiwa CG-TRA na kum demote kuwa RAS"

Hayo ni maoni yako na tutayaheshimu. Japo hupaswi kudhani kuwa kila unachokiwaza wewe ndiyo kilicho sahihi. Assad alitumika kisiasa pia. Alipokuwa akitumiwa na kina ZZK kwa vitu visivyofaa. Kichere msimsemee nyinyi, nae atafanya kazi yake kwa uhuru na bila woga. Kumbuka CAG hahojiwi na wala hafukuzwi. Akishateuliwa ni mpaka muda wake ufike. Atafanya kazi zake kama alietoka.
 
Kama hukujaaliwa uwezo wa kuchambua bakia msomaji tu siyo lazima uandike. Wataalamu wamechambua baada ya kuona issues in a big picture ndiyo wakaweka ile conclusion. Ila usipoiona basi nao ni ulemavu wa akili.
 
Spot on paskal

Nina mawazo tofauti kwa Kicheere kuwa CAG;
:Alimtumbua kwa madai kuwa hatoshi kiwa CG-TRA na kum demote kuwa RAS"
Kwa kumteua tena kuwa CAG ni kuahalisha ufisadi tu. Ni mbinu za kum shake kisaikolojia ili awe na adabu na mteuzi. Una panda cheo hadi Kamishna wa TRA una enjoy ukuu ghafla unapigwa mtama hadi kuwa RAS bila kutegemea na unanyong'onyea kisha unapewa madaraka yasiyo hojiwa na inakubidi ujikunyate kwa mteuzi kuwa ni mwokozi wako.

Anachofanya Jiwe ni kujaribu kucheza na akili za Watz na Wateule wake KISAIKOLOJIA…!
Haiwezekani mtu uliyemtumbua kwa demotion kutoka Kamishina Mkuu TRA na kumpa u~RAS leo tena the same person unamteua kuwa CAG!! Something somewhere must be very wrong na Utawala huu!
 
Mbona hukushangaa siku ile pesa ya sherehe ya uhuru ilipoenda kupanua barabara ya Ali Hasan Mwinyi pamoja na malalamiko kuwa taratibu hazikufuatwa? Naomba usitujazie saver kwa jambo ambalo huko nyuma lilitokea na ukalinyamazia. MAYALLA=NJAA.
Labda Kwa sababu "NCHI ILIYOPATA MAENDELEO FEDHA HAINA SAMANI" jamaa anamkwanja Sana atakuwa anadharau report Kwa sababu ni story "FEDHA KUINGIA KWENYE MZUNGUKO"
 
Paskali njaa itakuua wewe, hujui unasimamia wapi.

Leo hivi kesho vile. Huyu mtu si wewe unayemsifia hapa kila siku? Au kwa vile unaona muda unakwenda na hajakupa ugali ndio unaanza kubwabwaja?

Tulia uendelee kunyooshwa.
Labda Kwa sababu "NCHI ILIYOPATA MAENDELEO FEDHA HAINA SAMANI" jamaa anamkwanja Sana atakuwa anadharau report Kwa sababu ni story "FEDHA KUINGIA KWENYE MZUNGUKO"
 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi Kabudi amesema ndege ya Tanzania Bombardier Q400 iliyokuwa iwasili nchini hivi karibuni imekamatwa nchini Canada na kesi ipo Mahakamani

NDEGE NYINGINE YA TANZANIA YAKAMATWA CANADA

- Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi amesema ndege aina ya Bombardier Q400 imekamatwa

- Ndege hiyo iliyokuwa iwasili nchini hivi karibuni imekamatwa na kesi ipo Mahakamani

"Mhe. Rais ndege yetu aina ya Bombadier ambayo ilipaswa ifike Tanzania kutokea Canada imekamatwa na mtu yule yule ambaye aliikamata ndege yetu kule Afrika ya Kusini." - Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje.

======

Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amesema ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 imakamatwa nchini Canada.

Amesema aliyesababisha Bombardier kukamatwa ni Hermanus Steyn, raia wa Afrika Kusini ambaye alifungua kesi ya madai Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini akidai fidia ya dola 33 milioni.

Kesi hiyo ilisababisha Mahakama hiyo kuizuia ndege ya Tanzania aina ya Airbus A220-300 kuondoka nchini humo Agosti, 2019.

Steyn, anadai fidia baada ya mali zake kutaifishwa na Serikali ya Tanzania mwaka 1980. Hata hivyo, Septemba 3, 2019 mahakama hiyo iliamuru ndege hiyo iliyokuwa imezuiwa katika uwanja wa ndege wa Oliver Tambo kuachiwa baada ya Serikali kushinda kesi bila kutoa fedha yoyote.

Akizungumza leo Jumamosi Novemba 23, 2019 mjini Dodoma katika hafla ya kuapishwa kwa mabalozi, Profesa Kabudi amesema, “ndege imekamatwa na kesi ipo mahakamani. Aliyesababisha ni yuleyule (Steyn) aliyesababisha ndege yetu kuzuiwa Afrika Kusini.”

Profesa Kabudi amesema kuendelea kwa vitendo hivyo ni hujuma za mabeberu wasiofurahishwa na maendeleo nchini.

Katika hafla hiyo iliyohudhuriwa na Rais wa Tanzania, John Magufuli aliyewaapisha mabalozi hao, Profesa Kabudi amesema, “tulikwenda mahakamani tukamshinda (Afrika Kusini) akakata rufaa na wiki iliyopita tukamshinda tena, huyohuyo sasa amekimbilia Canada amekamata ndege ya Bombardier Q400 ambayo ilikuwa ifike nchini.”

“Jambo linalosikitisha ndege zilizokuwa zinatoka Marekani aina ya Dreamliner mbili hazikukamatwa zimefika lakini kila ndege inapotakiwa kuondoka Canada tunashangaa hao matapeli wanajuaje na ndege zinakamatwa.”
Amesema Balozi wa Tanzania nchini Canada aliitwa nchini na kuelezwa jinsi nchi isivyofurahishwa na kukamatwa kwa ndege zake kila zinapokaribia kuja kuondoka nchini humo.

“Nimemwambia sio tu kwamba tunasikitika bali tunakasirishwa, na tunafikiri mheshimiwa rais kukushauri kama Canada inaendelea kuruhusu vitu kama hivyo sio wao peke yao wanaotengeneza ndege, hatukufanya makosa kununua ndege Canada, hata Brazil wanatengeneza ndege,” amesema Profesa Kabudi.

Amesema wameandaliwa wanasheria kwenda Canada kuipigania ndege hiyo.
Kushikiliwa kwa ndege hiyo kunarejesha kumbukumbu ya ndege nyingine ya Tanzania aina ya Bombardier Q400-8 iliyozuiwa nchini Canada mwaka 2017 kutokana na madai ya Sh87.3 bilioni zilizokuwa zikidaiwa na kampuni ya kikandarasi.

View attachment 1269985

Chanzo: Mwananchi
Angalieni tarehe ya bandiko hili, wakati huo hakuna hata bombardier moja.
Kama kuna watu wanashangaa ndege yetu kukamatwa huku kuna watu waliitoa angalizo kabla lakini watu wakatia pamba masikioni, halafu watu hao hao leo wanajifanya kushangaa ndege yetu kukamatwa, hawa pia watakuwa watu wa ajabu sana.
P
 
Kudos Bro kwa caution uliyoitoa way back before. You deserve my compliments.

Naomba ili kujitendea haki fani yako wakumbushe na award aliyonayo Symbion Power na Standard Chatered HongKong dhidi ya TANESCO.
 
Back
Top Bottom