Madeni ya Taifa: Kuna kitu very serious CAG amekisema. Hii kitu haiko sawa. Je, tunakwenda wapi?

Tumtakie CAG Mstaafu, Prof. Mussa Assad kustaafu kwema na amestaafu kwa heshima na kwa mujibu wa sheria na sio kwa hoja zozote za vitatange na vibirifitina, jina lake litaandikwa kwenye kile kitabu cha mashujaa wa kweli wa taifa wetu.

Karibu CAG Mpya, Charles Kicheere, tunakutakia kazi njema.
Paskali
 
Muandikie kwa Kisukuma mkui
 
Spot on paskal

Nina mawazo tofauti kwa Kicheere kuwa CAG;
Alimtumbua kwa madai kuwa hatoshi kuwa CG-TRA na kum demote kuwa RAS"
Kwa kumteua tena kuwa CAG ni kuahalisha ufisadi tu. Ni mbinu za kum shake kisaikolojia ili awe na adabu na mteuzi. Una panda cheo hadi Kamishna wa TRA una enjoy ukuu ghafla unapigwa mtama hadi kuwa RAS bila kutegemea na unanyong'onyea kisha unapewa madaraka yasiyo hojiwa na inakubidi ujikunyate kwa mteuzi kuwa ni mwokozi wako.
 
Hayo ni maoni yako na tutayaheshimu. Japo hupaswi kudhani kuwa kila unachokiwaza wewe ndiyo kilicho sahihi. Assad alitumika kisiasa pia. Alipokuwa akitumiwa na kina ZZK kwa vitu visivyofaa. Kichere msimsemee nyinyi, nae atafanya kazi yake kwa uhuru na bila woga. Kumbuka CAG hahojiwi na wala hafukuzwi. Akishateuliwa ni mpaka muda wake ufike. Atafanya kazi zake kama alietoka.
 
Kama hukujaaliwa uwezo wa kuchambua bakia msomaji tu siyo lazima uandike. Wataalamu wamechambua baada ya kuona issues in a big picture ndiyo wakaweka ile conclusion. Ila usipoiona basi nao ni ulemavu wa akili.
 

Anachofanya Jiwe ni kujaribu kucheza na akili za Watz na Wateule wake KISAIKOLOJIA…!
Haiwezekani mtu uliyemtumbua kwa demotion kutoka Kamishina Mkuu TRA na kumpa u~RAS leo tena the same person unamteua kuwa CAG!! Something somewhere must be very wrong na Utawala huu!
 
Mbona hukushangaa siku ile pesa ya sherehe ya uhuru ilipoenda kupanua barabara ya Ali Hasan Mwinyi pamoja na malalamiko kuwa taratibu hazikufuatwa? Naomba usitujazie saver kwa jambo ambalo huko nyuma lilitokea na ukalinyamazia. MAYALLA=NJAA.
Labda Kwa sababu "NCHI ILIYOPATA MAENDELEO FEDHA HAINA SAMANI" jamaa anamkwanja Sana atakuwa anadharau report Kwa sababu ni story "FEDHA KUINGIA KWENYE MZUNGUKO"
 
Paskali njaa itakuua wewe, hujui unasimamia wapi.

Leo hivi kesho vile. Huyu mtu si wewe unayemsifia hapa kila siku? Au kwa vile unaona muda unakwenda na hajakupa ugali ndio unaanza kubwabwaja?

Tulia uendelee kunyooshwa.
Labda Kwa sababu "NCHI ILIYOPATA MAENDELEO FEDHA HAINA SAMANI" jamaa anamkwanja Sana atakuwa anadharau report Kwa sababu ni story "FEDHA KUINGIA KWENYE MZUNGUKO"
 
Angalieni tarehe ya bandiko hili, wakati huo hakuna hata bombardier moja.
Kama kuna watu wanashangaa ndege yetu kukamatwa huku kuna watu waliitoa angalizo kabla lakini watu wakatia pamba masikioni, halafu watu hao hao leo wanajifanya kushangaa ndege yetu kukamatwa, hawa pia watakuwa watu wa ajabu sana.
P
 
Kudos Bro kwa caution uliyoitoa way back before. You deserve my compliments.

Naomba ili kujitendea haki fani yako wakumbushe na award aliyonayo Symbion Power na Standard Chatered HongKong dhidi ya TANESCO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…